East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,206
Salamu kwa Banda
Salaam zilishamfikia hata kabla.Mafuta ya magari Malawi ni tatizo.Kuna mafoleni watu wanapanga hadi wiki kununua mafuta ya magari kidumu cha lita tano.Gari la mafuta klikiingia watu wanalikimbilia kama wehu na vidumu.
Hela za kigeni hana anahaha.
Hilo la kelele za mpaka analitumia kama karata kwa ajili ya uchaguzi ujao wa Raisi wa malawi.
Kutokana na hali ngumu ya maisha malawi kupita kwenye huo uchaguzi ni ndoto.Hizo kelele za mpaka zitaisha akishapigwa chini.
Na uzuri siasa za malawi watanzania tunazijua kuliko haka kamama kalikopewa uraisi mezani baada ya raisi kufariki.Akawaulize akina Bakili Mulunzi Raisi mstaafu wa Malawi.
Salaam Kazipata na atazipata kwenye uchaguzi ujao.