pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,760
- 3,324
Wakti umefika kuanza kufikiria kutengeneza za kwetu hakuna kisichowezekana chini ya jua
Mwenzangu -hata pikipiki bado hatujaweza kutengeneza iwe ndege za kivita!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakti umefika kuanza kufikiria kutengeneza za kwetu hakuna kisichowezekana chini ya jua
Umeshindwa kujenga hoja unabaki kuongea vitu vya kijinga kabisa,hii inaonesha ni jinsi gani ulivyo mwepesi kifikra na huwezi kuisaidia jamii yako kuondokana na matatizo yanayoizunguka kwa namna ulivyo sasa,badilika na jijenge kifikra maana bado muda unao.ukivamiwa na majambazi yanatumia bunduki ya kienyeji inayotumia risasi za kawaida eti ooh waziri ajiuzuru kama nyie vichwa vumbueni dawa ya ukimwi sio mabomu na bunduki
Faiza tulia usije nyongwa kwa kamba hotelini. Kumpinga dikteta ndio kusaliti rwanda kama hujui!Mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete hayo.
Kagame aseme su! kama hatujaenda kukachukuwa ka-nchi chote kale kwa masaa 6 tu.
Hivi level ya juu kabisa ni ya ngapi??Hao ni level 3 commandos in the making, 92kj
Faiza tulia usije nyongwa kwa kamba hotelini. Kumpinga dikteta ndio kusaliti rwanda kama hujui!
Kama unabisha leta chokochoko basi kama kagame anazoleta congo
Hivi level ya juu kabisa ni ya ngapi??
Joseph uko nyuma backward to stone age wavumbuzi tz wanojitambua hufuata sheria za nchi huanzia COSTECH pale hupata msaada wa kiufund na fedha nying tu ila ww na mbwa mwitu wenzio mnavumbua bunduki na mabomuUmeshindwa kujenga
hoja unabaki kuongea vitu vya kijinga kabisa,hii inaonesha ni jinsi gani
ulivyo mwepesi kifikra na huwezi kuisaidia jamii yako kuondokana na
matatizo yanayoizunguka kwa namna ulivyo sasa,badilika na jijenge
kifikra maana bado muda unao.
Sasa kama unaongea na mbwa wewe tukuiteje?Ha ha ha ha hujitambui na kajipange upya ili uweze kujenga hoja zaidi ya hapo unapoteza muda wako bure!Joseph uko nyuma backward to stone age wavumbuzi tz wanojitambua hufuata sheria za nchi huanzia COSTECH pale hupata msaada wa kiufund na fedha nying tu ila ww na mbwa mwitu wenzio mnavumbua bunduki na mabomu
Mkuu Bukyanagandi huyo jamaa hajui analosema, hizo RPV zilitumika 11WW zikiwa fitted na cameras for surverience missions mostly!!!
Siku hizi wamedevelop both attack &reck missions!!
Vitu vya zamani hivyo!!
kaka usimalize utamu hapa we angalia kisha sepa ushaona makamanda wanachangia humu? most ni watu wa vijiweni, nakupa likeWell said mkuu, jamaa
huyu alijaribu sana kuiponda Tanzania kuhusu mambo ya ULIZI na effort
za JK, niliona nikibishana naye openly won't serve any useful purpose
tutaishia kufungua a flood gate ya watu wengine wabishi ambao wako hell
bent kupinga kila kitu kinacho tekelezwa na Serikali iliyopo
madarakani!! Nili - PM nikamuelimisha kwanza, baadae nilipompa
facts/figures hakurudi TENA, nafikiri alipo anajua Tanzania ni moto wa
kuotea mbali.
Watu wanakuja humu na kudai eti J-7G ni ndege ya kizamani, afadhali
tungenunua F-15! Ukiwauliza F-15 zilingia kwenye service mwaka gani
hawana jibu! Je, injini za F-15 ambazo ni mbili kwa kila fighter zina
combination ya maximum thrust at sea-level ya kiasi gani? Je, kasi yake
at altitude bila ya ku-switch on afterburner ni MACH NUMBER NGAPI? Sasa
linganisha na thrust ya a single injini ya J-7G fighter na kachumabali
niliyo taja hapo juu, hapo ndio utajua Watanzania tulivyo wa ajabu
wakati mwingine, na hapo sijazungumzia kila kitu specifically sehena za
silaha on board, umbali wa ya radar kungamua targets angani (mbele na
nyuma) vile vile na aridhini. Hivi wanafikili makamanda wetu wa JWTZ na
JK ni mbumbumbu hawajui la kufanya ili kuimalisha Ulinzi wa Taifa letu??
Wengine wanashabekia Sukhoi MK30 - sikatai ni formidable fighter lakini
nilicho wahi kudishudia mimi kwenye airshow ni umahili wake wa kucheza
ndombolo angani kusimama upright bila ya ku-stall, trick hii inatokana
na muhundo wake wa injini zenye Thrust Vectoring mechanism i.e kuchezea
mwelekeo wa gesi inayotoka kwenye tubani za injini kwenda kwenye
exhaust, mbinu hizi zinazifanya ndege za series za Sukhoi kufanya
maajabu zikiwa angani kwenye airshow lakini hii haipi upperhand kwenye
dog fight ambazo zinategemea skills za pilot aliye kwenye joystick na
actually hakuna ulazima wa ndege za J-7G au Sukhoi kufukuzana angani cha
muhimu ni nani anamuona mwenzake mapema kwenye radar na kufyatua air to
air missile, mwenzake kama ana kinga ya kutosha atapona lakini kama ni
missile ambayo haiwezi kuonekana/detected mapema kwenye defence system
za ndege husika, atakwenda na maji. Juzi juzi hapa mulimuona M7 alivyo
kuwa ana angalia ndege hizo Zanzibar - anakumbuka ndege za aina hiyo
kutoka Zimbabwe na Namibia zilivyo wachachafya majeshi ya M7 na PK huko
DRC, ndege hizo zilikuwa a watered down version, sasa hivi J-7G ina
modern avionics na mambo mengine ya muhimu kwa ulizi wetu na kushambilia
inapo bidi.
Kama ni mambo ya Drones za kufanya ulinzi wa anga letu na kugundua
maadui au majangili inapo bidi kazi hiyo naweza kuwapa mafunzo kidogo na
kuwapa michoro vijana wa pale gerezani au Tabata dampo, wakahuda drones
hizo kwa kutumia plywood na...... na kuwapa madawa husika ya
kubadirisha a three ply - plywood kuwa ngumu kuliko steel, mambo ya
servos za kuicontrol na mengine waniachie mimi, najua kuna watu watakuja
humu na kusema jamaa amekwisha pata kichaa tayari - hakuna Mtanzania
anayeweza kuhunda drones za kulinda anga letu! Ndio tulivyo kazi
kupondana.
Well said mkuu, jamaa huyu alijaribu sana kuiponda Tanzania kuhusu mambo ya ULIZI na effort za JK, niliona nikibishana naye openly won't serve any useful purpose tutaishia kufungua a flood gate ya watu wengine wabishi ambao wako hell bent kupinga kila kitu kinacho tekelezwa na Serikali iliyopo madarakani!! Nili - PM nikamuelimisha kwanza, baadae nilipompa facts/figures hakurudi TENA, nafikiri alipo anajua Tanzania ni moto wa kuotea mbali.
.
J-7G ni ndege ya kizamani -June 1967, (kulinganisha na F-15E – Jan 1976), ambayo imekuwa copied kutoka MiG-21 (1962 era), na kama wanavyosema hapa "…has more or less seen its best days behind it, and for all intents and purpose, is an outclassed fighter mounted by modern standard" (emphasis mine). Kupitia links hizo na nyingine nyingi tu, basically J-7G is absolutely no match to an F-15E.
pongezi kwa taifa letuThe Tanzanian People's Defence Force (TPDF) has swapped 12 old Chinese-made J-7 fighter aircraft with 14 new J-7Gs, as the country forges ahead with the modernisation of its aerial defence capabilities.
Tanzanian Air Force takes delivery of 14 new J-7G fighter jets | DefenceWeb
Koborer,
..in american football they say, u run a play that works until it doesnt work no more.
..katika vita vyote ambavyo Tanzania imepigana kuanzia mozambique, uganda, zimbabwe, seychelles, mpaka comoro, kote huko aerial attack was not prominent.
..The portuguese and Iddi Amin had much more superior air force compared to Tanzania. We all know what was the outcome of those wars.
SHERRIF ARPAIO
Ni kweli lakini sasa hivi Wamenda na wakati kwa sababu zile za zamani zilikuwa Hazi pai usiku,mvua ikinyesha,zilikuwa Zina lack effective radar yaani maanake zilikuwa haziwezi kujua kwamba sehemu flani Kuna radar na pia tatizo jengine zilikuwa zinashida Sana kumnasa adui akiwa angani ni kweli hadi china wenyewe wanajua ndio maana wakaamua kuzi develop kutoa j7 mpaka j7G na j7ftnjamani, kwani hata hizo za zamani zikiwepo hazipigi? hazishambuliii? chochote tulichonacho tujivunie hata kama cha zamani, tutajivunia nacho tu na kipya tutanunua kuwa nacho, tutakuwa na vipya na vya zamani pia. ndio maana vitani watu wengine hutanguliza mgambo kwanza kupima maji, na baadae ndio wanapeleka makomandoo wa jeshi...hahaha.lazima uwe navyo vyote, vipya na vya zamani, imara na vinyonge, vyote vina faida, kila kimoja kina umuhimu wake na kwa wakati wake.