NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,930
- 920
true son-but not that baaaad-atleast we can retaliateI was expecting Tz to buy F15 or F16 but not these damn Sukhois
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
true son-but not that baaaad-atleast we can retaliateI was expecting Tz to buy F15 or F16 but not these damn Sukhois
Nchi nyingi zilizo tuzunguka chomvu tu,wao wenyewe wanapigana wao kwa wao.TZ spy mpaka uswahilini wengine hata awalipwi wanajitolea tu.sioni hata nchi inayoweza kusimama na tanzania kivita kati ya hizi zinazo tuzunguka.kwanza sisi sio wachokozi ila ukilianzisha ndo utatujua vizuri
huo ndo ukweli ,kandarasi za mauziano ya silaha kubwa kama ndege,meli,makombora huwaga sio hata siku moja ..hizo ndege za mchina ni copy ya Mig21 ya mrusi.
Haziwezi pambana na ndege kama sukhoi ambazo ni more advanced and multirole.
Mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete hayo.
Kagame aseme su! kama hatujaenda kukachukuwa ka-nchi chote kale kwa masaa 6 tu.
mbona unashabikia vita?
mbona unashabikia vita?
Hazina tofauti.
Kuna mtu nimeona ameziita interceptor kama kuzitofautisha na Fighters yaani F-15,F-16 nk lakini nadhani ni kutojua kwa nini J-7G zinaitwa pia interceptor. J-7G ni version ya MIGs na ziliitwa hivyo wakati wa Cold War kwani zilikuwa na kazi kubwa ya ku intercept fighters za NATO. Lakini kiukweli nazo pia ni fighters kama zilivyo F series na zote zina uwezo mkubwa wa ku perform bullfighting. Tena hizi Mig zinasifiwa sana kwa Air Defence and Air superiority in general mpaka sasa. Kundi lingine la ndege linaitwa Attackers au A series,mfano A-10 attacking planes.Hizi kazi yake kubwa ni ku attack specified ground targets kama majengo,magari,vifaru,meli nk. Huwa si special for aerial/air to air fighting. Lakini habari zinasema kuna wataalamu wameshaunda ndege ambayo ni combination ya fighters na attackers zinaitwa F/As series. Kwa maelezo haya nadhani bado tuko vizuri tu kama tumechukua new J-7G sababu what we need more is superior air defence!
Kumbuka mabomu yalivyolipuka Gongo la Mboto Askari wetu walikimbia Kama kuku na kuacha kambi bila ulinzi!!
Tungekuwa na intelligence nzuri then American embassy isingelipuliwa mwaka 1998. Wanyamapori wasingepakiwa kwenye ndege tena wakiwa hai!!
Kweli kabisa. Na ukichukulia kwamba Kenya wana F-15E na Mi-28 Attack helicopters, Tanzania wana weakest airforce by far, kulinganisha na majirani zetu.
fafanua...kagame ndio alianza habari za kutu-'hit'.
Mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete hayo.
Kagame aseme su! kama hatujaenda kukachukuwa ka-nchi chote kale kwa masaa 6 tu.
mbona unashabikia vita?
kagame ndio alianza habari za kutu-'hit'.
fafanua...
ufafanuzi unatokana na hii hoja:Ufafanuzi: rejea thread hii:
Kagame tells Kikwete "I will hit you......"
Mwambie anadhani m23 kukatiza pori kwenda uganda unadhani mchezo siyo michezo ya kombolela mnajificha! TPDF Ni kazi!Kwani unafikiri na wale M23 tulikuwa tunachezea nao mdako kule?
Huyo kikwete wako siamini kama anajua tofauti ya kilichonunuliwa na kilichokuwepo. Inawezekana kapewa yale yale ya zamani yakiwa yamebadilishwa canopies tu!
I was expecting Tz to buy F15 or F16 but not these damn Sukhois