Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete hayo.
Kagame aseme su! kama hatujaenda kukachukuwa ka-nchi chote kale kwa masaa 6 tu.
wakti umefika kuanza kufikiria kutengeneza za kwetu hakuna kisichowezekana chini ya jua
Mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete hayo.
Kagame aseme su! kama hatujaenda kukachukuwa ka-nchi chote kale kwa masaa 6 tu.
Mkuu Airforce za kwetu Afrika ni kwa ajili ya straffing tu na si kushinda mapambano.Kweli kabisa. Na ukichukulia kwamba Kenya wana F-15E na Mi-28 Attack helicopters, Tanzania wana weakest airforce by far, kulinganisha na majirani zetu.
Jeshi alilolianzisha Mwalimu 1964, hakuna kujigamba wala nini.JWTZ ni ngumu kuwajua walichonunua, wanachomiliki au wasichomiliki; sababu ya usiri uliopo. Kuna documentary nimewahi kuona mama (mzungu) alikuwa anafanya utafiti juu ya mahusiano ya TZ na Israel na TZ na Parestine aliwahoji watu wengi nakumbuka hadi akna Ulimwengu na Lipumba, alifanikiwa katika taarifa nyingi kisiasa na kijamii lakini kijeshi hakufanikiwa na Alikiri kuwa hakufanikiwa kujua mchango wa Israael jeshini kwa sababu ya usiri uliopo. Kuna uzi nliuona wachangiaji wanahangaika kupata wasifu wa Twalipo na Kihwelu, sasa itakuwaje silaha.
Ungejua jinsi sukhoi zilivyo ovyo, afadhari hata tungeendelea na Mig, wenyewe wanatengeneza halafu wanasema haya madege mabovu tutawauzia waafrika.
Umeelezea kwa mtitiriko mzuri; unafaa kua mwalimuHazina tofauti.
Kuna mtu nimeona ameziita interceptor kama kuzitofautisha na Fighters yaani F-15,F-16 nk lakini nadhani ni kutojua kwa nini J-7G zinaitwa pia interceptor. J-7G ni version ya MIGs na ziliitwa hivyo wakati wa Cold War kwani zilikuwa na kazi kubwa ya ku intercept fighters za NATO. Lakini kiukweli nazo pia ni fighters kama zilivyo F series na zote zina uwezo mkubwa wa ku perform bullfighting. Tena hizi Mig zinasifiwa sana kwa Air Defence and Air superiority in general mpaka sasa. Kundi lingine la ndege linaitwa Attackers au A series,mfano A-10 attacking planes.Hizi kazi yake kubwa ni ku attack specified ground targets kama majengo,magari,vifaru,meli nk. Huwa si special for aerial/air to air fighting. Lakini habari zinasema kuna wataalamu wameshaunda ndege ambayo ni combination ya fighters na attackers zinaitwa F/As series. Kwa maelezo haya nadhani bado tuko vizuri tu kama tumechukua new J-7G sababu what we need more is superior air defence!
Kidogo mkuu. Kuishi ni kujifunza. Jf kidogo mtu unachojua ni vizuri ku share knowledge na wenzako. Thanks,Umeelezea kwa mtitiriko mzuri; unafaa kua mwalimu
TPDF(JWTZ) Commando Training:
[video=youtube_share; YbkK-VDBIMg]http:// youtube/YbkK-VDBlMg[/video]
Picha imepigwa kwa simu quality sio nzuri sana.....:sick:
Mkuu Bongolander sukhoi na J-7G ni ndege mbili tofauti kabisa.Sukhoi inatengenezwa Russia ni 4 generation hata Marekani,Ukraine,Algeria,Ethiopia,China na Russia wanazitumia. J-7 hii ni mchina ni ndege ya zamani kidogo ilianza kutengenezwa miaka ya 80s kwa sasa hata mchina mwenyewe hazitumia technoligia yake imepitwa na wakati labda kama watakuwa wameimodernise ili kuendana na wakati.
Maelezo mazuri isipokuwa Marekani hawatumii Sukhoi, kama wanazo ni kwa ajili ya training practise ili kujua strength/weaknesses zake. F-35 ndio future backbone ya US airforce. Kwa sasa ni F-15 Eagle.Mkuu Bongolander sukhoi na J-7G ni ndege mbili tofauti kabisa.Sukhoi inatengenezwa Russia ni 4 generation hata Marekani,Ukraine,Algeria,Ethiopia,China na Russia wanazitumia.
I was expecting Tz to buy F15 or F16 but not these damn Sukhois
In your own dreams and immaginationsSukhois are the best all time fighter jet compare with f15 or f16
ukivamiwa na majambazi yanatumia bunduki ya kienyeji inayotumia risasi za kawaida eti ooh waziri ajiuzuru kama nyie vichwa vumbueni dawa ya ukimwi sio mabomu na bundukiTanzania mtu
ukikutwa umetengeneza Bunduki yako unafungwa wakati wenzetu
wanawaendeleza wananchi wao na ndio maana tunanunua hizi ndege
kwao,tumekufa kifikra na tuna utegemezi kwa kila kitu.
sukhoi runing coast ni 10b tsh annual this just to pay Russian expertiesHapa shughuli na siri za JESHI pia mnazo Mitaani!!!!!!!!!! Watz mh