Tanzanian Air Force takes delivery of 14 new J-7G fighter jets

ukivamiwa na majambazi yanatumia bunduki ya kienyeji inayotumia risasi za kawaida eti ooh waziri ajiuzuru kama nyie vichwa vumbueni dawa ya ukimwi sio mabomu na bunduki
Umeshindwa kujenga hoja unabaki kuongea vitu vya kijinga kabisa,hii inaonesha ni jinsi gani ulivyo mwepesi kifikra na huwezi kuisaidia jamii yako kuondokana na matatizo yanayoizunguka kwa namna ulivyo sasa,badilika na jijenge kifikra maana bado muda unao.
 
faizaFox Chonde chonde usichokoze jamaa na mambo ya Kagame, huyo hata kwa Artllery mnazama ndani tuu!!
Siku hizi mambo ni shwari!!
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete hayo.

Kagame aseme su! kama hatujaenda kukachukuwa ka-nchi chote kale kwa masaa 6 tu.
Faiza tulia usije nyongwa kwa kamba hotelini. Kumpinga dikteta ndio kusaliti rwanda kama hujui!
 
Mkuu Bukyanagandi huyo jamaa hajui analosema, hizo RPV zilitumika 11WW zikiwa fitted na cameras for surverience missions mostly!!!
Siku hizi wamedevelop both attack &reck missions!!
Vitu vya zamani hivyo!!
 
Last edited by a moderator:
Faiza tulia usije nyongwa kwa kamba hotelini. Kumpinga dikteta ndio kusaliti rwanda kama hujui!

Huyo siku zake zinahesabika. Amechokwa na kila mwananchi wake, sasa anaanzisha kasheshe na wengine, huko aliko nnakuhakikishia hana raha hata usingizi hapati, si unaona kila kukicha macho yanavyozidi kumtoka utafikiri mjusi aliyebanwa na mlango.
 
Joseph uko nyuma backward to stone age wavumbuzi tz wanojitambua hufuata sheria za nchi huanzia COSTECH pale hupata msaada wa kiufund na fedha nying tu ila ww na mbwa mwitu wenzio mnavumbua bunduki na mabomu
 
Joseph uko nyuma backward to stone age wavumbuzi tz wanojitambua hufuata sheria za nchi huanzia COSTECH pale hupata msaada wa kiufund na fedha nying tu ila ww na mbwa mwitu wenzio mnavumbua bunduki na mabomu
Sasa kama unaongea na mbwa wewe tukuiteje?Ha ha ha ha hujitambui na kajipange upya ili uweze kujenga hoja zaidi ya hapo unapoteza muda wako bure!
 
Mkuu Bukyanagandi huyo jamaa hajui analosema, hizo RPV zilitumika 11WW zikiwa fitted na cameras for surverience missions mostly!!!
Siku hizi wamedevelop both attack &reck missions!!
Vitu vya zamani hivyo!!

Well said mkuu, jamaa huyu alijaribu sana kuiponda Tanzania kuhusu mambo ya ULIZI na effort za JK, niliona nikibishana naye openly won't serve any useful purpose tutaishia kufungua a flood gate ya watu wengine wabishi ambao wako hell bent kupinga kila kitu kinacho tekelezwa na Serikali iliyopo madarakani!! Nili - PM nikamuelimisha kwanza, baadae nilipompa facts/figures hakurudi TENA, nafikiri alipo anajua Tanzania ni moto wa kuotea mbali.

Watu wanakuja humu na kudai eti J-7G ni ndege ya kizamani, afadhali tungenunua F-15! Ukiwauliza F-15 zilingia kwenye service mwaka gani hawana jibu! Je, injini za F-15 ambazo ni mbili kwa kila fighter zina combination ya maximum thrust at sea-level ya kiasi gani? Je, kasi yake at altitude bila ya ku-switch on afterburner ni MACH NUMBER NGAPI? Sasa linganisha na thrust ya a single injini ya J-7G fighter na kachumabali niliyo taja hapo juu, hapo ndio utajua Watanzania tulivyo wa ajabu wakati mwingine, na hapo sijazungumzia kila kitu specifically sehena za silaha on board, umbali wa ya radar kungamua targets angani (mbele na nyuma) vile vile na aridhini. Hivi wanafikili makamanda wetu wa JWTZ na JK ni mbumbumbu hawajui la kufanya ili kuimalisha Ulinzi wa Taifa letu?? Wengine wanashabekia Sukhoi MK30 - sikatai ni formidable fighter lakini nilicho wahi kudishudia mimi kwenye airshow ni umahili wake wa kucheza ndombolo angani kusimama upright bila ya ku-stall, trick hii inatokana na muhundo wake wa injini zenye Thrust Vectoring mechanism i.e kuchezea mwelekeo wa gesi inayotoka kwenye tubani za injini kwenda kwenye exhaust, mbinu hizi zinazifanya ndege za series za Sukhoi kufanya maajabu zikiwa angani kwenye airshow lakini hii haipi upperhand kwenye dog fight ambazo zinategemea skills za pilot aliye kwenye joystick na actually hakuna ulazima wa ndege za J-7G au Sukhoi kufukuzana angani cha muhimu ni nani anamuona mwenzake mapema kwenye radar na kufyatua air to air missile, mwenzake kama ana kinga ya kutosha atapona lakini kama ni missile ambayo haiwezi kuonekana/detected mapema kwenye defence system za ndege husika, atakwenda na maji. Juzi juzi hapa mulimuona M7 alivyo kuwa ana angalia ndege hizo Zanzibar - anakumbuka ndege za aina hiyo kutoka Zimbabwe na Namibia zilivyo wachachafya majeshi ya M7 na PK huko DRC, ndege hizo zilikuwa a watered down version, sasa hivi J-7G ina modern avionics na mambo mengine ya muhimu kwa ulizi wetu na kushambilia inapo bidi.

Kama ni mambo ya Drones za kufanya ulinzi wa anga letu na kugundua maadui au majangili inapo bidi kazi hiyo naweza kuwapa mafunzo kidogo na kuwapa michoro vijana wa pale gerezani au Tabata dampo, wakahuda drones hizo kwa kutumia plywood na...... na kuwapa madawa husika ya kubadirisha a three ply - plywood kuwa ngumu kuliko steel, mambo ya servos za kuicontrol na mengine waniachie mimi, najua kuna watu watakuja humu na kusema jamaa amekwisha pata kichaa tayari - hakuna Mtanzania anayeweza kuhunda drones za kulinda anga letu! Ndio tulivyo kazi kupondana.
 
kaka usimalize utamu hapa we angalia kisha sepa ushaona makamanda wanachangia humu? most ni watu wa vijiweni, nakupa like
 

J-7G ni ndege ya kizamani -June 1967, (kulinganisha na F-15E – Jan 1976), ambayo imekuwa copied kutoka MiG-21 (1962 era), na kama wanavyosema hapa "…has more or less seen its best days behind it, and for all intents and purpose, is an outclassed fighter mounted by modern standard" (emphasis mine). Kupitia links hizo na nyingine nyingi tu, basically J-7G is absolutely no match to an F-15E.

Na hapa wanasema "Amazingly, the J-7G Fishbed, the latest derivative of the MiG-21, remains in production, with as many as 96 were in PLAAF service by the end of 2010. In the USSR this aircraft was manufactured between the late 1950s and the middle 1970s. Production of the American F-4 Phantom II, the MiG-21's long-time adversary in Vietnam and the Middle East, ended in 1979, and the last Phantom was withdrawn from service in the United States in 1996."
 

Mkuu inategemea nani alia file reports/article hiyo na alikuwa na madhumuni gani, nashangaa sana! Hivi unataka kuniambia airframe ya sasa hivi ya J-7G na powerplant yake has anything in common na Mig-21?? Jaribu ku-contact India Airforce iliyowahi kushindanisha ndege hizo i.e MiG-21 sikumbuki ya variant hipi maana ziko aina tofauti, walifanya majaribio ya kivita kabisa na F-15E kutoka Merikani - lakini MiG-21 ilihibuka kidedea mpaka Merikani waliokuwa kwenye majaribio hayo huko India walishikwa na butwaa - kumbuka Wahindi hawana lolote la kuficha au mambo ya propaganda.

Labda niulize swali dogo, hivi ukitumia airframe hiyo hiyo (wanazo ita za zamani!!) lakini waka-retrofit modern avionics na a formidable powerplant na modern armament nini kitatokea???? Ninacho taka kusisitiza hapa ni kwamba airframe design inaweza kuwa ya kizamani, what counts ni je imestahimili mikiki mikiki ya ku-land na ku-take-off fully loaded at maximum thrust kwa miaka mingi bila ya kutokea structural failure au metal fatiques, watu weledi ndio mambo wanayo angalia sana. Kama airframe inabaki kuwa mahili kadiri ziku zinavyo kwenda, basi wana decide ku-stick na a proven design ambayo imekuwa subjected to maximum limit kwa muda mrefu flawlessly - baada ya hapo wana decide kutumia airframe hiyo hiyo miaka nenda rudi kinacho fanyika ni kuweka modern Avionics na Injini zenye nguvu zaidi - mbinu hizi ndio ziliwahi kutumika kwenye ndege za concord ambazo design ya airframe yake ni ya miaka ya sitini, lakini zimeweza kutumika kwa takribani miaka arobaini without major accidents, kilicho kuwa kinafanyika ni kuzi stripeddown to barebones baada ya miaka fulani kupita, wanakagua kila bolts/nuts/rivets na mabati - wanarekebisha hapa na pale, kama injini zimepitisha muda wa masaa ya kutumika zinawekwa nyingine mpya, na ndege unaruka tena kama mpya.

Mwisho kabisa nizungumzie kidogo kuhusu MiG-25 (FoxBat) ili-enter service kwenye miaka ya sitini, lakini mpaka leo hii ndio inashikiria record ya kuwa the fastest interceptor na kuweza kuruka kwenye highest altitude mpaka leo wakati mwingine ikiwa full loaded na vimbwanga vya kivita! Tourists wanatoka Merikani na Ulaya kwenda Urusi, wanatoa hela zao ili na wao wapande MiG-25 kwa masaa ili washudie/faidi maajabu yake, vitu kama hivyo nchi za magharibi hawaviandiki - wanakalia kusema sema design za kizamani design za kizamani,ukiwauliza Boeing 747 series zote Airframe yake ilikuwa designed mwaka gani? Nikiwabana na maswali kama hayo wanakaa kimya!
 

[MENTION=76795]Kaborer Ground troops are the ones who always win the war. Tanzanians are good on that in sub sahara countries!
 
Kaborer. Don't tell me that i didn't warn you!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli lakini sasa hivi Wamenda na wakati kwa sababu zile za zamani zilikuwa Hazi pai usiku,mvua ikinyesha,zilikuwa Zina lack effective radar yaani maanake zilikuwa haziwezi kujua kwamba sehemu flani Kuna radar na pia tatizo jengine zilikuwa zinashida Sana kumnasa adui akiwa angani ni kweli hadi china wenyewe wanajua ndio maana wakaamua kuzi develop kutoa j7 mpaka j7G na j7ftn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…