Tanzanian lady live interview on muosha rungu show!

Tanzanian lady live interview on muosha rungu show!

Inakuchukua muda gani kumtafakari mtu anayedai anakupenda!

Ulisha tembea Na mpenzi au mume Wa rafiki yk au yeyote yule!

Nje ya love ni sababu ipi ingine inaweza kukudatisha kwa man?

Huwa haichukui muda
Unaweza onana nae leo tu na ukamuelewa kwamba hapa yees

Sijawahi kuwa na mahusiano ya aina hiyo na of coz sina rafiki wa kike
 
Alright kwa nini huna rafiki Wa kike?
Unawachukuliaje lesbian and guys
Ilitokana na malezi ya mzee,hakuwa anapenda ushoga ukienda na rafiki anajua unafundishwa mambo mabaya

Ni watu wanaomchukiza Mungu sana. Sitamani hata kuwasikia japo huku wanaoana kanisani kabisa.
 
Back
Top Bottom