Viroba vipo vya aina tofauti tofautHuyu abaki huko huko mchukueni.. Tupeni yule gavana mlevi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu abaki huko huko mchukueni.. Tupeni yule gavana mlevi
Hata darasani ukiwa mkurupukaji ni ngumu sana kuelewaViroba vipo vya aina tofauti tofaut
Msaada gani mnaweza kutoa kws tx nyir?Wacha aje apate msaada
Kuelewa kama nini kwa mfano,?pumba?Hata darasani ukiwa mkurupukaji ni ngumu sana kuelewa
Matanzania mengine ni majinga kwa kiwango cha lami.Mumuzuie asiongeee. Lasivyo mtakuja sema wenyewe
kama ulikua hujui huku kenya kuna katiba mpya.... amayo inamhitaji rais kutangazia na kujulisha wakenya (hata kabla kuulizwa) chochote muhimu anachofanya kwa siku ambacho kinahusisha kenya, akishindwa kufanya hivyo basi mkenya yeyote ana haki ya kumpeleka rais mahakamani, kwahivyo ukiona rais anatumia social media kujulisha wakenya nini anachofanya usifikirie ni kwa sifa pekee....jibu ni moja tu,JPM hategemei umaarufu wa kupitia social media,ni uchapakazi wake ndio unasababisha ajadiliwe ktk social media kila sehemu duniani.
Uhuru Kenyatta anategemea umaarufu kupitia social media kwa 100%.ndio maana kila anachofanya lazima aweke update Fb na twitter ili watu wamsifie.
Mwaka mzima, Magufuli no show in Kenya. Mara ngapi Kenyatta amekuja TZ same year?Kenyatta in Sudan for a state visit as soon as magufuli is in kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] he totally doesnt like that guy
Sio wote wanaokwambia wewe mzuri wanamaanisha hivyo, wengine wanakucheka rohoni.facebook page ya kenyatta uone watanzania kila siku wanafungua roho zao hapo na utendakazi wa uhuru..... kila siku utaina watu kutoka mozambique, ghana, namibia wanajazana hapo wakipongeza....... we inaonekana ni mara ya kwanza kuona rais wako akiongelewa nchi nyengine... huku hilo ni jambo la kawaida sana, usiwache iingie kwa akili yako, utakua unajidanganya bure tu..... huyo magu wenu, akipewa uongozi hapa kenya hatakaa hata miezi miwili, akifunga stesheni moja au apinge upinzani kukusanyika mahali flani, hakutakalika, hakuna biashara yoyote itasonga mbele,....... wakenya wanapenda vile anapambana na ufisadi, lakini hicho pekee ndo kitu wanachopenda, hayo mengine awafanyiayo tunawaonea huruma sana, poleni sana kwa kupelekwa kama vitoto vidogo vya shule na JPM ndie mwalimu mkuu
Nasikia wengi wenyu mtajipanga kwa Barabara kupiga nae selfie.
Wale watanzania omba omba wanaoishi kenya wako na hamu kabisa, sisi wengine tutakua tunaenda kazini tunasmamishwa tunaona vigari viko na bendera vinatupita..... alafu badae tunaona kwa habari za jioni kwamba rais wa tz alikua kenya kwa ziara alafu ndo tunakumbuka, 'oooh, vile vigari vilitupita ndo maana vilikua na bendera tofauti na ile ya kawaida ya kenya'
kadoda11
Hapo siwezi bisha, kwa kweli Wakenya wengi wasiojua hali na siasa za Bongo, wengi wanotegemea kusoma magazeti magazeti watamshabikia sana Magufuli. Hususan mashabiki wa Raila maana ana uswahiba na Magufuli. Lakini kwa wale tunajua mlivyo na jinsi maisha yamekua magumu kwenu, huku Magu akilaumu eti ni kwasababu mumeficha pesa kwenye magodoro, hatuwezi kuwa na muda wa kuhangaika na hayo maselife unayoyasema.
Magu alipoingia mwanzo nilijua atatenda, na kwamba ana mikakati. Ameishia mikwara tu na kushtukiza shtukiza huku ameandamana na wana habari, hayo mambo ya kusaka umaarufu tu. Sasa hizo habari ndio huwafikia Wakenya huku wengi wanona kama kweli anafanya mambo.
Mafisadi waliotajwa kwenye kashfa nyingi kama IPTL, ESCROW n.k. bado wapo wameshikilia nyadhifa kwenye uongozi. Yeye amefuata samaki wadogo wadogo. Kuna ripoti niliisoma ya Zitto kabwe nikajua kweli bado mnalo.

4:1kadoda11

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji818]Mumuzuie asiongeee. Lasivyo mtakuja sema wenyewe
Halafu umaarufu wake ni ule wa uhalifu....Uhuru Kenyatta anategemea umaarufu kupitia social media kwa 100%.ndio maana kila anachofanya lazima aweke update Fb na twitter ili watu wamsifie.
Naona mnakumbuka mabati mlotoaAnakuja kuomba msaada