Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

MK254,
Ndiyo maana mnatakiwa kutembelea sana Jamiiforums mpate habari za kina na za uhakika kuhusu hali halisi za nchi za Afrika Mashariki na Kati.

kwako JF ndio unaona source ya habari? JF imevamiwa na wanasiasa, wamezuiliwa kufanya mikutano ya kisiasa wameamua kuhamia JF. endelea kuamini umbea unaoletwa humu JF.
 
ivi ww ni mwanasiasa au? naona unaaza kuingiza siasa hadi unahama mada, Magu haji kufanya siasa huko, anakuja kikazi zaidi, naona unahoma ya uchaguz wenu wa mwakani,

Wacha hasira, kama huwezi kuhimili majadiliano humu ndani bora unapita kimya. Dunia siku hizi kijiji, watu wanayajua mambo ya kila nchi ndani ya sekunde mbili. Leo hii tunajadili siasa za Wamarekani hata zaidi yao wenyewe. Sasa wewe ukijitia presha kisa Magu wako ameanikwa kimataifa utaumwa bure.

Mimi nilikua namjibu mwenzio ambaye amesema tutapiga selfie nyingi na Magu ili kumshobokea, nikamwambia itategemea na nani. Wale tunaojihabarisha mambo ya dunia hii hatuwezi poteza muda huo maana tunajua na kuona huko anakotoka mnavyolalamika.

Yeye aje kibiashara na tutamkaribisha tena sana maana nchi zetu hizi zinahusiana pakubwa kibiashara. Sisi ni majirani na tumeunganishwa kwenye kiuno, hata aje rais yupi haitokua rahisi kuvunja huu uhusiano. Tena alivyo rais wa maamuzi ya haraka anaweza kuibuka na kauli za kuboresha zaidi mahusiano.

Lakini hayo ya kuetegemea tumshobokee na kujikombakomba labda wale Wakenya wasio na muda wa kujihabarisha, lakini sio wengine kama mimi.
 

Hivi waeza orodhesha hao viongozi wa IPTL na ESCROW waliopo madarakani?

kwanini inakua muongo sana? Sisi tunaishi maisha magumu? Hayo ya Kenya utayaitaje? Rioort ya Daily nation reveals kwamba 8 out ten Kenyan huenda bed wakiwa na njaa or hawajala vizuri.

Ugali tu ni matatizo. Chakula ni luxury Kenya.
 

Kumbe yule mlemavu alikua anahudumiwa kwa ukarimu pale duka la safaricom nakuru alikua katoroka tanzania soma kisa nini






A Safaricom customer care attendant from Nakuru who on Tuesday went down on her knees to assist a disabled person has been appreciated by CEO Bob Collymore.
Pauline Shamola's photo was captured by a passerby has been trending on social media since Tuesday, winning praise and appreciation from many.
In the photo, Pauline is seen kneeling down next to 52-year-old William Kisumo, who had visited the centre to make a purchase.
Ealier in the week, National Council for Persons with Disability Chairman David ole Sangok visited Pauline at the care centre and showered her with a Safaricom branded cake and two NCPWD branded t-shirts.
Sangok promised to reward Pauline with a certificate for her exemplary service to a deserving person.
Safaricom CEO Bob Collymore in a meeting with Nakuru-based Safaricom attendant Pauline at the Safaricom offices in Nairobi, October 29, 2016. /COURTESY
Pauline could not hold back her tears, as Sangok commended her for assisting Kisumo. But she did not address the media.
Kisumo, a father of six and a beggar along Kenyatta Avenue in Nakuru town, lost his lower limbs.
He told journalists that poverty drove him from Tanzania, adding that although he has knowledge in leather work, he has no capital to start a business.

Safaricom attendant who touched customers' hearts meets Bob Collymore
 
This guy seats next to the masai market ama huduma centre
 
Hapa ndipo napowasifu Wakenya.. Mko vizuri sana kwenye customer care na wajanja mno
 
Unaichukia sana Tz eeh
Laa Nachukia waTZ walio JF wanao chukia wakenya bila sababu ....ingekuwa wasomali singe bother but what has kenya done to deserve all this hate from Tanzanians??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…