Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Mange Hata Mimi binafsi kipindi cha uchaguzi nilimlaaani laana zoote..tena sanaaaaaa....ila sijui imekuwaje now I pity her
 
Mbona mnatia huruma sasa? Kama kweli mna busara kwa nini hamkumshauri mwenzenu wakati anaendeleza upuuzi wake?
Labda we mwenye muda wa kufuatilia upuuzi wa watu ndio umpe ushauri .
 
huyu si alijitapaga eti wapare hawaachwi?...si huyu alidai kwamba lance hata akicheat atacheat na ngozi nyeupe sio black tena?....
ama kweli malipo ni hapa hapa duniani!!
Demba tafadhali nataka kila ukirudi julwaani uwe unani beep bhaaana,nakupenda saaaaana tena saaaana mrembo wewe.
 
Kilichobaki sasa ni aoane na Le-mutuz sasa, hiyo ni nafasi yake ya mwisho.
 
I can't believe that chick is this powerful!

I can't believe she is this influential!

But evidently, somehow someway, she is.

What you tryna say?? She is hated by many through her bad behavior of bad mouthing everyone. You should stop praising her damn.
 
Mtu anae mtetea Mange huwa namuona hazimo kabisa au labda hajawahi kukugusa kinamna moja au nyingine, nitakupa mfano alivyomtukana Nacky ambae alikuwa rafiki yake akamtukana mama yake Anna Kilango na akamtukana mtoto wa Nacky akimuita eti ni Shetani anashangaa kwanini Nacky kampa jina la Malaika. Nacky alimtukana wapi????

Kamtukana Kiki na mama yake, kamtukana Nambua Mlaki na mama yake mpaka mama wa watu akamuandikia msg instagram aongee nae, tena alivyo mshenzi akaposti vile yule mama alivyomtafuta. Hawa watu walimtukana wapiii???

Nyie mnaomshangilia naomba siku awatie discipline kidogo awaguse mama zenu au baba walotangulia mbele za haki ndio mtakuja hapa kumuona HERO wenu.
 
Swali la kizushi....
Anaingiliana vipi na Jaki Kweka aka Chocolate mama??
 
duh angetulia sasa haya mambo ya kushindana na baba watoto siri nyingi zitafichuka, ataweka wapi uso mwisho wa siku? Na ukizingatia ametumia nguvu nyingi kudisplay image ya matawi ya juu😉
 
aiseeeh!!kumbeeee!!mpk msg za wamama hao alizirusha hewani!!??
Asante Mungu Kofi ulilompiga nalo wakati huu limemfanya aumuke km kakandiwa hamira y kipemba!!
daaahhh!!huyu Dada kumbe ana laaana unatukàna mzazi wa MTU then unamdhalilisha
 
Nilijuaga hilo jina ni lawanaume, labda ni kwa sababu sijawahi sikia mambo ya mtu mwenye hilo jina.
 
Ha ha haaa insta kuna vituko wanakwambia kuachwa na mume kunauma ila kuachwa na mume afu mume kutoka na rafiki yako inauma zaidi, lakini pia kuachwa na mume afu mume kutoka na mcheza mieleka inachoma kama pasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

KARMA U R UGLY BYATCH FOR SURE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…