Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Anasubiriwa vibaya. DPP kacharuka vibaya. Akitua airport wala hatii mguu Serena. Mwisho wake utakuwaga pale Kisutu mahakamani. Ngoma ya bongo imemkalia vibaya. But let her come afungwe at least three years, aanze new life.
Dua la kuku hilo Loh hivi unaanzaje kupangilia mawazo ya kumtakia mabaya mtu asiye na hata robo ya kwapa lako
 
Arudi bongo sasa aje kututajia vizuri ile orodha ya wauza sembe.

Yule Bongo hata akokotwe kwa Cartepillar harudi.
Na siku akisema anarudi maadui zake wataenda Msubiri Kisarawe, kabla Ndege haijatua wanamchomoa huko huko juu kwa juu halafu watokomee na yeye.
Mange kumsubiri Airport pale Dar sidhani Kama itawezekana, maadui zake walivyo wengi patatokea tifu la kugawana vipande vya mwili wake.
Yule sasa hivi ni USA Mamy tu, bongo ndio ntolee hiyo.
 
😀😀😀😀😀
 
 
Lol!!!!!kuna MTU Wa kumhurumia lakini si aina ya Mangee weweee Hakuna MTU alikuwa anamsapot Mange kuzidi marafiki zakeee kawavuaa nguoo .Mange Ana uwezo Wa kufufua Maiti Na kuzivika nguoo akaanza kuziongelesha kwa kuzisutaaaa Anaweza akamchafuaa mzazi wakoo kwa namna isiyotarajiwaaa..kwa nini watu huwa wanafungwa wakitenda kosa?ili wajifunze...same way kwa Huyu..tukisema tumhurumiee tumchekee atafanyaa MTU mwingine Si atahurumiwa???Acha Dunia infundishee!!Na ikibidi Isherehekee her Downfall!!
 
Kila mtu ana mapito anayo pitia ,hakuna aliyekamilika ,nimtakie maisha mema baada ya ndoa kufika mwisho
 
Mungu hubadili mipango yake kwani talaka ni mipango ya shetani.
 
Anasubiriwa vibaya. DPP kacharuka vibaya. Akitua airport wala hatii mguu Serena. Mwisho wake utakuwaga pale Kisutu mahakamani. Ngoma ya bongo imemkalia vibaya. But let her come afungwe at least three years, aanze new life.
Inshu sio kumuombea kufungwa Inshu awe na adabu..
 
Kasome sheria tena....
Marekani unayosema ndio Marekani ninayoisema..
 
Kwanza huyu mzungu alikuwa mvumilivu sana mimi siwezi kuoa mwanamke kama yule arudi Bongo tulisongeshe.
mkuu umenena vyema wazungu wapo straight sana , wanafanya vitu vyao kwa uhakika ndoo maana nilijua tu huyu granny lazima apigwe chini.

I can't imagine how her Assenal look like!!! maana hawa wazungu wanapenda kote kote
 
Pole yyake mama Mashauzi ndoa mchezo????
Mkuu kuna interview ya Deo wa nirvana na Miriam Odema anasema alikutana na mumewe Afrika kusini ndo walikojuana sasa mumewe huyo hakujua kama huyo demu Odemba ni maarufu bongo sasa siku wamekuja Bongo ile wanatua airport watu wakaanza kumuangalia miriam Odemba mpaka mumewe akamuuliza mbona kila mtu anakutazama wanakujua , yeye akasema ndio wanamfahamu kwa sababu aliwahi kuwa miss hapa nchini .......

Basi Basha ake aliposikia vile alimpiga biti kujihusisha na masula ya social network na alisema angejua kama ni maarufu vile kabla asingemuoa.
 
kaolewa na mzungu yuko hivyo angeolewa na Hamisi fundi wa vitasa au Juma mzibua vyoo si ingekuwa balaa?? hawafugiki kwa kweli

malezi haya
Na hawezi olewa tena ndoo basi awe tu one night stand basi , maana hakuna namna ingine .

Nyinyi wadada wanaume hawapendi kero, muwe mnajifunza .
 
Afrodenzi: Read the divorce paper. The first name (Lance vs. Mange) ndie anayeacha-Lance. Sorry I am a lawyer so I thought you should know. This one kaachwa. Period!
Kwa hiyo . ?
 

Sio simple kukwepa majukumu yako kama mnavyodhani, wanachukua forensic accountants wanaingia kila kola ya finances zako hakuna sehemu ya kuficha kitu chochote.
Kuna watu wanalipa hata 80-100% ya kipato chao na wakishindwa wanaozea jela. So hiyo idea kuwa amerudi kusoma haitamsaidia chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…