Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Na hawezi olewa tena ndoo basi awe tu one night stand basi , maana hakuna namna ingine .

Nyinyi wadada wanaume hawapendi kero, muwe mnajifunza .

mwambie ani inbox, huyo mbona anaolewa kabisa? anapewa rules, mahaba na matunzo, anakuwa mpole kama sister wa kanisani
 
Kani we KODI hizi HUZIONI ? Unakaa kuwaongelea watu tu.MWENZIO YUPO MAREKANI unafikir atarudi karibuni HUKU ,
 
Thanks.
 

issue hapa sio divorce....ni mlegwa!
 
No it's not the end of the world! But to someone who said she will NEVER get divorced, IT IS. And I know you know what I mean foreal foreal.

 
Nilichokiona kwa mange ni kuwa ukimuanza anakumaliza.... yaani kichambo chake ni cha mwendokasi ila ni kwa wanaomkorofisha... kingine hao anaogombana nao wana watu wa karibu sananao wanaompa mange data zao ndio maana anajiamini mno akimcharura mtu. Kama vp ukiona anakukera usimfollow IG ili usikwazike.
 

The issue ni kuwa huyo mume wa Mange amechoka tofauti na Mange alivyokuwa anatamba
 
Divorce marekani dili lazima akamate 50% ya assets plus monthly child support plus alimony, she's set for life!
Ninafahamu dada mmoja wa kitanzania aliyetegemea ndoto kama hiyo lakini mambo yelipogeuka, alishindwa hadi akarudi Tanzania na mpaka leo sijui anaishije na watoto wake ingawa mme wake bado yupo hapa na baadaye alioa dada mmoja wa kiganda akiwa na watoto wawili naye. Jamaa yule alimwashia moto dada yetu kwa kuacha kazi kwa muda kidogo akiwa anaishi kwa wazazi wake kusudi asiwe na income ya kutoa child support na kulipia mortgage ya nyumba yao na magari hivyo dada huyo akakuta nyumba na magari yanachukuliwa na benki. Mwishowe ilifikia dada yule akaamua kukimbia kurudi bongo kwa hiari kwa vile maisha yaligeuka kuwa pilipili kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…