Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Ha ha haaa insta kuna vituko wanakwambia kuachwa na mume kunauma ila kuachwa na mume afu mume kutoka na rafiki yako inauma zaidi, lakini pia kuachwa na mume afu mume kutoka na mcheza mieleka inachoma kama pasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

KARMA U R UGLY BYATCH FOR SURE
hhhahhaaaaaaahhha!!;
mcheza mielekaaaa!!!
 
Hakuna uhakika kama ni kweli maana hiyo kitu nimeiona kule kwa yule kichwa nini sijui halafu yule kichwa panzi alifungua account ya Instagram maalum kwa ajili ya mange tu maana sijawahi kuona amepost kitu tofauti zaidi ya mange kila kukicha any way ni maisha yao lakini
Ni kweli process iko mahakaman hata Mange kakili
 
Nashangaa kuona wanawake wanafurahia
Mwanamke mwingine kuteseka. Kwanza Mlijuaje
Kama yeye kaachwa labda ndie alie acha.
Hakuna anayefurahia sema shimo alilowachimbia wenzie sasa katumbukia mwenyewe. Inaonekana huwaga hutembelei page yake IG jinsi anavyoingilia mahusiano ya watu
 
Marekani? Kuchomoka kwenye hiyo 50% ni ngumu sana na hiyo child support na alimony ni monthly payment, child support mpaka mtoto afike 18 na alimony kama nusu ya muda wa ndoa so kama ndoa miaka 20 basi alimony unalipa miaka 10. Alimony inabidi imweke wife kwenye standard yake ya maisha ya ndoa so kama hana kazi umeunia hapo.
Nimesikia naye Mange kaambiwa atafute kazi mkuu,vp hapo inakuwaje?
 
Mkuu kuna interview ya Deo wa nirvana na Miriam Odema anasema alikutana na mumewe Afrika kusini ndo walikojuana sasa mumewe huyo hakujua kama huyo demu Odemba ni maarufu bongo sasa siku wamekuja Bongo ile wanatua airport watu wakaanza kumuangalia miriam Odemba mpaka mumewe akamuuliza mbona kila mtu anakutazama wanakujua , yeye akasema ndio wanamfahamu kwa sababu aliwahi kuwa miss hapa nchini .......

Basi Basha ake aliposikia vile alimpiga biti kujihusisha na masula ya social network na alisema angejua kama ni maarufu vile kabla asingemuoa.
Basi Mange ye alikuwa akidai kuwa eti mumewe na wakwe zake walikuwa wakifurahi Mange kutajwa tajwa mitandaoni,eti walifurahi mtoto wao ameoa mtu maarufu
 
Hakuna anayefurahia sema shimo alilowachimbia wenzie sasa katumbukia mwenyewe. Inaonekana huwaga hutembelei page yake IG jinsi anavyoingilia mahusiano ya watu
Sina tabia ya kufuatilia maisha ya watu.
Ila mkileta hapa ni story nyingine.
 
Huyo Mzungu ajifunze, kamwe usijichanganye na masikini kama wewe ni tajiri kuna sababu kwa nini watoto wa Wafalme au Mabilionea huwa hawaoi masikini wasiowafahamu, wewe kama unataka kusaidia masikini toa fedha wape halafu achana nao waishi wenyewe kwa wenyewe, sasa cha moto atakiona siajabu nyumba ikauzwa wakagawana mkwanja ambao hawakuuchuma pamoja, dadadeki!

Hilo pia ni fundisho kama wewe ni mtoto wa kishua Bongo usijidanganye hata siku moja kwenda kuoa Tandale au kwetu Ilala Kota utalia siku moja, ni bora uoe huko huko huko kwa washua O'bey, kwa maana ukichukuwa mtoto wa Ilala Kota lazima atakudanganya tu na kukutoroka kuja kwa masela kutukumbushia, somo hilo watoto wa kishua achaneni kabisa na watoto wa uswazi kwetu hawa hawafugiki tunawezana wenyewe tu ...
Daaah vibaya hivyo
 
Kaanza na Zari, sasa Zari ajiandae kudhalilishwa kwa mara nyingine tena, ile video yake akiji nanihii kwa kutumia nake massage lazima Mange aiweke hewani leo. Dah! Kazi kweli kweli, ngoja tuangalie ligi sie. Nifah cme on banah! Why unasema now huna mzuka na JF au umehamia insta na wewe.?
 
Kaanza na Zari, sasa Zari ajiandae kudhalilishwa kwa mara nyingine tena, ile video yake akiji nanihii kwa kutumia nake massage lazima Mange aiweke hewani leo. Dah! Kazi kweli kweli, ngoja tuangalie ligi sie. Nifah cme on banah! Why unasema now huna mzuka na JF au umehamia insta na wewe.?
Hata afanyeje hakuna litaloweza kumrudishia mume, those are last kicks of dying horse.
 
Hata afanyeje hakuna litaloweza kumrudishia mume, those are last kicks of dying horse.
Ni kweli ila mwenye yake mitandaoni inabidi awe na subira kwa huyu mwanamke maana Mange hafai si kwa mboga wala chakula, unaweza jifariji ukaumizwa zaidi.
 
Kwa hiyo Mange akipewa taraka nyie inawahusu nini!? Kujadili maisha ya watu au mmekosa shughuli za kufanya? Na wanaume wengi wanaofurahia huu upuuzi ni mashoga tu.. Je wakati anaolewa aliwahusisha?
 
Kwa hiyo Mange akipewa taraka nyie inawahusu nini!? Kujadili maisha ya watu au mmekosa shughuli za kufanya? Na wanaume wengi wanaofurahia huu upuuzi ni mashoga tu.. Je wakati anaolewa aliwahusisha?
Umepotea njia, hili ni jukwaa la kujadili WATU, au wewe ukisikia celebrity unafikiri ni umaarufu wa mbogamboga? Kuna jukwaa linajadili vyakula kapitie huko maana inaonekana unatumia sana tumbo badala ya kichwa.
 
That's her life and she is the master of her domain. If she has decided to live her life in public so be it. She's an exhibitionist. Let her knock herself out.

Hata akijiua...so what? Suicides happen everyday. She won't be the first nor last.



Unajua kuwa hana hiyo social support? Hata kama hana, una uhakika anaihitaji?



We are not all wired the same. Just because you may not be able to handle it, doesn't mean she can't either.



But why is she the only one who needs to back off? Her haters don't? Come on now.




Well dooh! She is a woman after all, ain't she?


well said
 
Ni kweli alikuwa anakoseaa I was Among those who wanted her to suffer..but let us give her a second chance..Mimi sijapendaa yule mzimbabwee anachofanya Hata kama Ni Adhabu siyoo ya aina iyo..imagine mumeo Hata mwezi haujaisha toka TALAKA lakini mapichaa mitandaoni..Mume anaumaa..Kama kujifunza Mange kajifunzaa but tusiendee mbali sana kama afanyavyoo yy
 
Back
Top Bottom