Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Useless degree from Tanzania.....inanshangaza

Nami nimesoma mara mbili mbili "useless degree from Tanzania" it means waliosoma degree Tanzania ni useless, Mbona wa wa outperform wakisoma nao hivyo vyuo vya nje na wao hawana Uwezo walionao watanzania waliosomea Tanzania. Mwandishi aepuke kuandika vitu kwa hasira, kama wanaproblem zao wawe careful na specific, wasiangaie all Tanzanians down please
 
Shida ya Watanzania ni kupenda kuona mtanzania mwenzao aki lost au afe kabisa ,Kwan yeye atakua wa kwanza kupewa Talaka? Atakua single mom wa kwanza?
Maisha yataendelea tu there is always a way MangeKimambi kwanza hongera kwa kutangaza meenyewe ur divorcing mdada gan wa kitanzania anaweza fanya hivyo pili nawewe unaingia kwenye list ya wanawake waliowahi kuolewa tatu una watoto
 
Mtapayuka sana na kuendelea kumjaza ujinga, mchawi wa Mange ni Mange mwenyewe, aachane na maisha ya watu na aishi maisha yake na Mungu atambariki. That's it!
 
Lol!!!!!kuna MTU Wa kumhurumia lakini si aina ya Mangee weweee Hakuna MTU alikuwa anamsapot Mange kuzidi marafiki zakeee kawavuaa nguoo .Mange Ana uwezo Wa kufufua Maiti Na kuzivika nguoo akaanza kuziongelesha kwa kuzisutaaaa Anaweza akamchafuaa mzazi wakoo kwa namna isiyotarajiwaaa..kwa nini watu huwa wanafungwa wakitenda kosa?ili wajifunze...same way kwa Huyu..tukisema tumhurumiee tumchekee atafanyaa MTU mwingine Si atahurumiwa???Acha Dunia infundishee!!Na ikibidi Isherehekee her Downfall!!

anayemtetea huyu dada ktk hili hamjui au ameliona hili jina kwa mara ya kwanza.. ana mdomo mchafu huyu mwanamke pppttuuu...

kifupi hafai, hata hvyo mzungu amemvumilia lol..
 
That's her life and she is the master of her domain. If she has decided to live her life in public so be it. She's an exhibitionist. Let her knock herself out.

Hata akijiua...so what? Suicides happen everyday. She won't be the first nor last.

Unajua kuwa hana hiyo social support? Hata kama hana, una uhakika anaihitaji?

We are not all wired the same. Just because you may not be able to handle it, doesn't mean she can't either.

But why is she the only one who needs to back off? Her haters don't? Come on now.

Well dooh! She is a woman after all, ain't she?

Dude, for once you dont know the word 'man' is universal? In this case, I dont have to continue arguing with you over this chick, you sound both hard and light headed.
 
Usishangae watetezi wa Mange, maana hata shetani ana wafuasi.

wanatetea ujinga aisee.. anapenda kudhalilisha watu sanaaa..
tena kuna kipindi humu ulifunguliwa thread alimtukana dada mmoja aliyekuwa rafiki yake mpk kaenda kunywa sumu, na bado alimcheka mwenzie kwa kiyendo hicho alichosababisha.. ningeuona huo uzi ingekuwa saaana..

pse matola, (mzee wa evidence uvumbue [emoji12] [emoji12] )
 
Kwa hiyo Mange akipewa taraka nyie inawahusu nini!? Kujadili maisha ya watu au mmekosa shughuli za kufanya? Na wanaume wengi wanaofurahia huu upuuzi ni mashoga tu.. Je wakati anaolewa aliwahusisha?
Kwn Zari kama hana maelewano mazuri na Bi Sandra na Esma yy linamuhusu nini?
Na hata akilishwa keki kwa kono la chooni yy kinamuwasha nini? Na zari akimpost mama yake na kumsifia yy alitumwa atafsiri kwa mtazamo wake?

What goes around always comes back around
 
wanatetea ujinga aisee.. anapenda kudhalilisha watu sanaaa..
tena kuna kipindi humu ulifunguliwa thread alimtukana dada mmoja aliyekuwa rafiki yake mpk kaenda kunywa sumu, na bado alimcheka mwenzie kwa kiyendo hicho alichosababisha.. ningeuona huo uzi ingekuwa saaana..

pse matola, (mzee wa evidence uvumbue [emoji12] [emoji12] )
The snake is already dead why should i use ....[emoji375] [emoji375] [emoji379]
 
Shida ya Watanzania ni kupenda kuona mtanzania mwenzao aki lost au afe kabisa ,Kwan yeye atakua wa kwanza kupewa Talaka? Atakua single mom wa kwanza?
Maisha yataendelea tu there is always a way MangeKimambi kwanza hongera kwa kutangaza meenyewe ur divorcing mdada gan wa kitanzania anaweza fanya hivyo pili nawewe unaingia kwenye list ya wanawake waliowahi kuolewa tatu una watoto
Tatizo sio kuwa tunapenda yale anayopitia na tatizo sio taraka au kuwa single mom,bali ni vile alivyokuwa akiwatreat wenzie kama takataka,unagombana naye ww ukoo mzima unatukanwa
 
Mtapayuka sana na kuendelea kumjaza ujinga, mchawi wa Mange ni Mange mwenyewe, aachane na maisha ya watu na aishi maisha yake na Mungu atambariki. That's it!
Haswaa ashike lake aone kama ataingiliwa naye
 
Tatizo sio kuwa tunapenda yale anayopitia na tatizo sio taraka au kuwa single mom,bali ni vile alivyokuwa akiwatreat wenzie kama takataka,unagombana naye ww ukoo mzima unatukanwa

Exactly. Halafu kama ana wivu hivi, hapendi kuona maendeleo ya wengine zaidi yake. Mwenye akili yeye, mjanja yeye, mwenye bahati yeye, mwenye pesa yeye, mwenye watoto wazuri yeye, mwenye tabia njema yeye. Sasa kule kujisifia mkorofi ni dalili ya ujeuri na kiburi; na ndio kinachomponza.
 
Exactly. Halafu kama ana wivu hivi, hapendi kuona maendeleo ya kwa mwingine zaidi yake. Mqente akili yeye, mjanja yeye, mwenye bahati yeye, mwenye pesa yeye, mwenye watoto wazuri yeye, mwenye tabia njema yeye. Sasa kule kujisifia mkorofi ni dalili ya ujeuri na kiburi; na ndio kinachomponza.
Yaan kila kitu anajua yy,zaid alichokuwa akinikera ni kutokupokea maoni ya wengine,akipost kitu ukimkosoa tu unakula solex,muda mwingine anakurupuka tu ukimweleza ukweli kufuri. Yaani mshenzi sana
 
Mange kimambi kweli kiboko yao wengi wanaomchukia wanatumia fake page maana wanaujua mziki wake lemutuz na Linda huwa wanatumia page zao lakini nao huwa wanachemka duh sijui kama tz kunamtu atakuja kuvunja record yake maana anaujasili wa kufichua mambo bila uwoga,salute kwake
2c1bcb10c8be0570f051a0c2468b8167.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nacheeeeka tu.
Hizi habari nilizijua long time,nikaleta huku naye akaja kukanusha.
Akasababisha nikapigwa ban ya siku kadhaa.
Yako wapi?
Sioni jipya ndio maana niko kimya.Japo nilishtuka sana kwa picha za mrembo Nyari na Lance.
Na zile caption za Kichwapanzi ndio kabisaaaaa mbavu sina.
#MeAmBiziiiii mwasu Ayanda85
 
What you tryna say?? She is hated by many through her bad behavior of bad mouthing everyone. You should stop praising her damn.

Hahahaa huyu huyu alishamponda pia, humu jf alipomsoma kasema yeye ndio ana maisha kupita watanzania wote Marekani...eeee labda anamuonea huruma sasa sababu hakumgusa.. ila ndio maisha ya uamuzi wa mtu.
 
Back
Top Bottom