Quickly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,056
- 649
Mleta mada anasema nyie wabongo hatujui stori zenu,ila nyinyi munaona hata citizen TV zaidi ya wakenya. Nilikuwa Dar 2013 na niliwahi shuhudia mkahawa mzima ukibisha waletewe habari za citizen nipashe na sio ya TBC ,na baadaye waone kipindi cha Papa shirandula. Ningekuwa nimekiuka mada vipi?naona unataka kubadili gia angani,hicho ulicho kizungumza na maudhui yaliyomo kwenye comment kuu ya muanzisha mada,ni vitu viwili tofauti.
nakushauri uanzishe thread mpya.[emoji23] [emoji23]
Mimi nitaendelea ku-focus kutoa majibu kwa mujibu wa hoja ya mleta mada.