Tanzanians Know More About Kenya while the vice versa is False

Mleta mada anasema nyie wabongo hatujui stori zenu,ila nyinyi munaona hata citizen TV zaidi ya wakenya. Nilikuwa Dar 2013 na niliwahi shuhudia mkahawa mzima ukibisha waletewe habari za citizen nipashe na sio ya TBC ,na baadaye waone kipindi cha Papa shirandula. Ningekuwa nimekiuka mada vipi?
 
naona unataka kujaribu kunitoa kwenye lengo ila hutofanikiwa.

kuna comment mleta mada anasema diamond anafahamika tu Africa hafahamiki nje ya Africa.

nikamwekea screenshots hizo hapo chini.zitazame vizuri,tafakari halafu utafute namna nyingine ya kurudi hapa kujadiliana na Mimi.vinginevyo nitakupuuza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sisi tuko league ya Obama uko league ya diamond man ata hauna aibu.....
 
Even though you didn't provide any evidence, but it painted a good picture about Kenyans general knowledge.
Yes The pictute is Kenyans tend to study alot but only about countries that value or add value in their lives
 
Yes The pictute is Kenyans tend to study alot but only about countries that value or add value in their lives
The stone the builders rejected has become the cornerstone uh, who is the loser now?
 
Sisi tuko league ya Obama uko league ya diamond man ata hauna aibu.....

SS SOMALIA SA UG

Yes The pictute is Kenyans tend to study alot but only about countries that value or add value in their lives

Lupita
Edi Gathegi
Obama
few weeks ago,wema sepetu's photo,was used to cover the front page of true love magazine which is owned and published by kenyan in kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
she is a brand and well known in east africa,using her would enable the magazine owner to make a huge profit.
 
Unasema sepetu...lupita aliwin Oscars the first black in the world...sisi tuko ligi ya world msee
 
TBh sijawai skiza her song.
 
i found twitter to be very useful in getting genuine positive or negative information about kenya b'se many kenyans use it mostly in expressing their internal affairs happening daily in their country.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Boss umekosa kazi... Me pia nimeona tweets nyingi za tz.. But najua some sio ukweli... Stop wasting your time on such nonsense.. A guess wewe ni BABA ya mtu acha kujiaibisha
 
Boss umekosa kazi... Me pia nimeona tweets nyingi za tz.. But najua some sio ukweli... Stop wasting your time on such nonsense.. A guess wewe ni BABA ya mtu acha kujiaibisha
hampendi nilete screenshots za tweets zenu hapa kwasababu nyingi zinawaaibisha wenyewe.

sitaacha leo wala kesho.nitaenda na style hii kila siku nitakapo kuwa na debate na wakenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
How old are You? Kenyan are very lazy, selfish no socializing interaction btn them so can they care about their neighbours? And still you feel proud of being that way...oh no..Tanzania is very unique to any other country in Africa try do your own research you will know about the beauty of us..nothing gud in life than being health and peace..Kenya lack such jewels.. Eti u think SA poor you how good you are to think that you are miles Far away from Tanzania... am sure in terms peace, social good governance may be economically and we are close enough.. And we are coming at light speed better keep quiet..
And learn our culture you will be civilized..period
 

Hahahahah Very Petty! Ndio niliuliza, Tanzania you can speak of Diamond?? That is a nobody on serious Kenyan issues if not disco!
 
When people are talking about impactive issues in the world you are talking of sex!! Nini mbaya na hawa wabongo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…