Toa akili uchwara hapa, kwani kuvaa boxer ni black Tanzania idea?
Wewe hapo umevaa boxer kama sio chupi, mchana umelia sahani, umepanda daladala au kuendesha gari lako toka nyumbani..... Yote hayo sio black tanzania wala black kenya mbona hukuyaacha? Epukana na akili za design hii!! Jenga hoja yako watu wakuelewa.France, Japan, Germany, Switzerland hakuna estate, hiyo ni english system, TZ siyo english colony hivyo idea ya estate haikuwahi kuwepo TZ na wala haijulikani, sasa ulitaka itokee wapi?
Kenya english walianzisha estate kama kwao England, Kenya ni grand english Colony!
SI I thought the British colonised you guys later, after Germany lost the warFrance, Japan, Germany, Switzerland hakuna estate, hiyo ni english system, TZ siyo english colony hivyo idea ya estate haikuwahi kuwepo TZ na wala haijulikani, sasa ulitaka itokee wapi?
Kenya english walianzisha estate kama kwao England, Kenya ni grand english Colony!
Wakenya wanagombania pombe katika gari lililopata ajali ni aibu, hawa jamaa kila sehemu wapo ni walevi sana hawa majirani zetu
SI I thought the British colonised you guys later, after Germany lost the war
Why dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?Britain never colonized Tanzania for your information
SI I thought the British colonised you guys later, after Germany lost the war
Wewe hapo umevaa boxer kama sio chupi, mchana umelia sahani, umepanda daladala au kuendesha gari lako toka nyumbani..... Yote hayo sio black tanzania wala black kenya mbona hukuyaacha? Epukana na akili za design hii!! Jenga hoja yako watu wakuelewa.
Kwa uelewa wangu, estate ni eneo maalum lilopangwa kwajili ya makazi na kuwekwa miundo mbinu stahiki sio hadi nyumba zifanane. Kila mmoja anaweza akajenga anavyotaka ila kwa mpangilio
yani unaanza na low IQ wakati wewe hapo unahitaji kufafanuliwa kila kitu? Kwa IQ ya kawaida ungeelewa hapo nimemaanisha foreign things ila uskonde nshakufafanulia na umeelewa.Low IQ!
Chupi ni english? Dunia nzima wanavaa chupi, estate ni ni pure english system!
Why dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?
Why dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?
Why dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?
What is your understanding of the word 'estate'? Inamaanisha hapo bongo mnaishi juu ya miti Kama ndege?TZ hakuna mfumo wa estates, Kenya kuna estates kwa sababu Muzungu English alianzisha, TZ haikuwa english colony, na estate ni english system.
France au Switzerland, Japan au hata China hakuna estate!
Kwanza estates ni Apartheid, Muzungu alianzisha estates kwa ajili ya Muzungu na Indians, Wakenya weusi waliwekewa slums Kibera, baada ya Uhuru ndo Waafrika wadosi wakahamia kwenye estates.
Lkn lengo lake lilikuwa ni apartheid!
mbaazi ikikosa matunda kawaida husingizia jua. Typical danganyikanMlichokifanya ni kuendeleza tu apartheid, sasa hivi weusi matajiri wamechukuwa nafasi ya Muzungu, baada ya Muzungu kuhama estates.
Lkn estates Nairobi siyo black Kenya idea!
huko sio Runda kakangu. Tukikuletea picha za Runda utakimbia utoroke jf kabisaYaani wewe jamaa bule kabisa, zile nyumba mlijengewa na Uhuru pale kibera mlikodisha na nyia mkaamia huko kweusi . Sasa unapita huko Runda na kupiga picha estate za watu unatuma humu.
Arusha Estates zipo KibaoTZ hakuna mfumo wa estates, Kenya kuna estates kwa sababu Muzungu English alianzisha, TZ haikuwa english colony, na estate ni english system.
France au Switzerland, Japan au hata China hakuna estate!
Kwanza estates ni Apartheid, Muzungu alianzisha estates kwa ajili ya Muzungu na Indians, Wakenya weusi waliwekewa slums Kibera, baada ya Uhuru ndo Waafrika wadosi wakahamia kwenye estates.
Lkn lengo lake lilikuwa ni apartheid!