Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Toa akili uchwara hapa, kwani kuvaa boxer ni black Tanzania idea?
France, Japan, Germany, Switzerland hakuna estate, hiyo ni english system, TZ siyo english colony hivyo idea ya estate haikuwahi kuwepo TZ na wala haijulikani, sasa ulitaka itokee wapi?
Kenya english walianzisha estate kama kwao England, Kenya ni grand english Colony!