Tanzanians Show us your Estates

Tanzanians Show us your Estates

Toa akili uchwara hapa, kwani kuvaa boxer ni black Tanzania idea?

France, Japan, Germany, Switzerland hakuna estate, hiyo ni english system, TZ siyo english colony hivyo idea ya estate haikuwahi kuwepo TZ na wala haijulikani, sasa ulitaka itokee wapi?

Kenya english walianzisha estate kama kwao England, Kenya ni grand english Colony!
 
Wewe hapo umevaa boxer kama sio chupi, mchana umelia sahani, umepanda daladala au kuendesha gari lako toka nyumbani..... Yote hayo sio black tanzania wala black kenya mbona hukuyaacha? Epukana na akili za design hii!! Jenga hoja yako watu wakuelewa.
Kwa uelewa wangu, estate ni eneo maalum lilopangwa kwajili ya makazi na kuwekwa miundo mbinu stahiki sio hadi nyumba zifanane. Kila mmoja anaweza akajenga anavyotaka ila kwa mpangilio
 
SI I thought the British colonised you guys later, after Germany lost the war
 
Wewe hapo umevaa boxer kama sio chupi, mchana umelia sahani, umepanda daladala au kuendesha gari lako toka nyumbani..... Yote hayo sio black tanzania wala black kenya mbona hukuyaacha? Epukana na akili za design hii!! Jenga hoja yako watu wakuelewa.
Kwa uelewa wangu, estate ni eneo maalum lilopangwa kwajili ya makazi na kuwekwa miundo mbinu stahiki sio hadi nyumba zifanane. Kila mmoja anaweza akajenga anavyotaka ila kwa mpangilio

Low IQ!
Chupi ni english? Dunia nzima wanavaa chupi, estate ni ni pure english system!
 
yani unaanza na low IQ wakati wewe hapo unahitaji kufafanuliwa kila kitu? Kwa IQ ya kawaida ungeelewa hapo nimemaanisha foreign things ila uskonde nshakufafanulia na umeelewa.
Hivi vitu unahitaji kudadavua kidogo sio kukibeba kama ulivyokikuta. Kwa mtazamo mpana, mikocheni... Upanga... Mbezi beach... zote ni estates. Najua kwa IQ yako utataka nikufafanulie zaidi, usiogope kuuliza nipo kwajili yako
 
Hawa wa K wako na Stress kweli kweli. Jinga kweli
 
When you start posting things like this from Nairobi.
1113601

We don't want to talk about mega residential projects under construction in Nairobi. We will come here with final products soon.
 
Why dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?

Wewe unafikiri maneno ya kiswahili kama shule na bunge yametoka wapi? Zanzibar was under the sultanate of Oman.
 
Why dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?

Mababu zetu walikuwa wanaongea German tulivyo pata uhuru we shifted to Swahili our national identity and we are proud of it
 
Why dont you guys speak German? And Zanzibar, wasnt Zanzibar a British colony?

Tanzania had a trusteeship status after First World War that’s why we never struggled to remove the British. The British people new tz was not theirs so they never invested anything here apart from stealing our resources. Our independence was gained through UN system League of Nations then
 
TZ hakuna mfumo wa estates, Kenya kuna estates kwa sababu Muzungu English alianzisha, TZ haikuwa english colony, na estate ni english system.
France au Switzerland, Japan au hata China hakuna estate!

Kwanza estates ni Apartheid, Muzungu alianzisha estates kwa ajili ya Muzungu na Indians, Wakenya weusi waliwekewa slums Kibera, baada ya Uhuru ndo Waafrika wadosi wakahamia kwenye estates.

Lkn lengo lake lilikuwa ni apartheid!
What is your understanding of the word 'estate'? Inamaanisha hapo bongo mnaishi juu ya miti Kama ndege?
 
Mlichokifanya ni kuendeleza tu apartheid, sasa hivi weusi matajiri wamechukuwa nafasi ya Muzungu, baada ya Muzungu kuhama estates.

Lkn estates Nairobi siyo black Kenya idea!
mbaazi ikikosa matunda kawaida husingizia jua. Typical danganyikan
 
Yaani wewe jamaa bule kabisa, zile nyumba mlijengewa na Uhuru pale kibera mlikodisha na nyia mkaamia huko kweusi . Sasa unapita huko Runda na kupiga picha estate za watu unatuma humu.
huko sio Runda kakangu. Tukikuletea picha za Runda utakimbia utoroke jf kabisa
 
TZ hakuna mfumo wa estates, Kenya kuna estates kwa sababu Muzungu English alianzisha, TZ haikuwa english colony, na estate ni english system.
France au Switzerland, Japan au hata China hakuna estate!

Kwanza estates ni Apartheid, Muzungu alianzisha estates kwa ajili ya Muzungu na Indians, Wakenya weusi waliwekewa slums Kibera, baada ya Uhuru ndo Waafrika wadosi wakahamia kwenye estates.

Lkn lengo lake lilikuwa ni apartheid!
Arusha Estates zipo Kibao
 
Back
Top Bottom