Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Kwa uthibitisho ni kuangalia percentage ya below poverty line kenya ni 43 % tz ni 26.8 % na kenya kuna wimbi kubwa la wasioajiriwa kuliko tz.na uthibitisho mwingine ni kutokuwalipa vzur wafanyakaz wa umma hususan madaktar.ilhal tz madkatar waliongezewa mshahara toka 2016 na magu na hukuwahi sikia toka magu aingie kwamba wafanyakaz wa umma wamegoma km kenya.
Hapo nimetoa relevance nzuri sana na real life yenu pinga sasa
Hapo nimetoa relevance nzuri sana na real life yenu pinga sasa
Sasa umeamua kutoa povu. Nimekuuliza Swali rahisi Sana... Unaweza kudhibitisha kwamba Watanzania wanaishi maisha bora kuliko wakenya? Kama huwezi leta dhibitisho, afadhali unyamaza tu. Huo ndio mtindo hapa jf, ukileta madai lazima udhibitishe kutumia links