Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

Some would dare say the real average of real GDP Per capita for "real" Tanzanians hovers around $ 300, bila kusahau vitoto lukuki vile ambavyo havijafikia umri wa uzalishaji na vizee vilivyokwishatoka katika uzalishaji, wamachinga wasio uzalishaji au wenye uzalishaji mdogo na un/underemployment.

Some would say that, and I will have a hard time disputing that.
 
Heheheheheheeeee....Pundit economics makes me laugh.....
 
Pundit,
You made real points; but only one issue: Uongozi ni Mbaya kupindukia hasa wakati wa Mwinyi na Kikwete; tenganisha: Mwinyi alivuruga all macroeconomy Mkapa akatengeneza (ingawa baadaye aliiba); kikwete hatuelewi anafanya nini! Kumbuka kuwa Mwinyi alivuruga na kuiba (ingawa kuiba kwake hatukuoni). Bob be fair on this!

Mkuu, hapana mwizi ni mwizi tu hata kama akianza vizuri.. kinachohesabika ni matunda..
Mkapa, binafsi nilimpenda mwanzo pamoja na kwamba kilichokifanya ni ku apply macroeconomy ambayo ni somo lililokwisha tayarishwa na IMF..Kweli inachukua kiongozi mzuri kuweza kufikira ama kulitazama hilo, lakini siwezi kumpa Pongezi wakati nchi aliyorithi ilikuwa haikusanyi kodi kwa sababu mali zote zilikuwa za serikali. Sasa hiyo kodi Mwinyi atakusanya toka wapi iende wapi!..How can you tax the Government!

Kwa hiyo Mkapa alichofanya ni kuanza kuitumia policy ya mabadiliko ya Kiuchumi hali ambayo hata wewe ungeweza kufanya.. it's written unachofanya ni ku copy na Ku paste tu kisha unahesabu toka zero maana kulikuwa hakuna pato la kodi zaidi ya wafanya kazi serikalini. sasa naomba watupe hesabu za kodi za wafanyakazi serikalini wakati wa Nyerere ama Mwinyi tuangalie!.. Kumbuka baada ya kuuzwa mashirika zaidi ya 3,000 ambayo yaliajiri zaidi ya asilimia 60 ya wafanyakazi tumebakia na lundo la Unemployments mitaani.
Tatizo la Uongozi wake umekuja pale mashirika yalipouzwa na wao viongozi wakawahi kuchukua vipande vyao bila kujali ajira za wananchi wake.
Mikataba yote ambayo leo tunaipigia kelele imetokea under his watch na sio tu kwamba alijua kuwa mambo haya yanafanyika bali yeye mwennyewe alikuwa kinara na kwa uhakika ni ktk mgao huu ndipo kundi la Boyz to men lilipojiweka sawa ili nao wapate kuvuta zao, chanzo cha maovu yote ni Mkapa.

Mkapa alikuwa mbora tu wakati Mwalimu akiwa hai, Mwinyi aliharibu Uchumi wetu kwa sababu mwalimu hakumruhusu kuuza mali zetu kwa bei ya njugu hivyo ktk transition ya Kiuchumi hakuwa na kitu cha kukusanya..
RUKSA, iliua viwanda vyote vikasimama kabisa nakumbuka wakati mwalimu anaondoka madarakani Urafiki, UFI na viwanda vingine vyote vilikuwa vinafanya kazi isipokuwa vilikuwa havina fedha kuweza kujiendesha, kilichotakiwa ni kuwa Bailed OUT kisha viongozi wote waliohusika kuua mashirika ya Umma kuwekwa kiti moto..Mwinyi hakuwa na ubavu huo... Yakhe yakhe unajua tena ni kilema cha akili.

Samahani mkuu lakini Mkapa hakuacha kitu zaidi ya makaratasi ofisini wakati hali halisi ya wananchi ilikuwa mbaya.. ndio haya tunayozungumzia kuhusiana na Kikwete!
 
Heheheheheheeeee....Pundit economics makes me laugh.....

Kwanini inakufanya ucheke? Mwanzilishi wa mada hii na wengi tuliochangia hapa tumechukulia kuwa GDP ni kipimo cha umasikini. Na ndio maana tunapata taabu sana kwa Tanzania kuwa katika kundi la nchi masikini sana pamoja na kuwa na rasilimali za kutosha.

Tukiacha tafsiri ya kuwa GDP ni kipimo cha uduni wa maisha tunaweza kupata picha nzima ya jinsi ya tunavyoendelea.

Tunapoishi kama taifa, ni lazima tutegemee serikali itufanye vitu fulani kwa niaba ya wananchi wake. Tunategemea serikali ijenge mabarabara na mashule, idumishe ulinzi na usalama, na kufanya vitu vingine muhimu kwa wananchi wake.

Pesa zinazotumika na serikali kufanya mambo haya ni pesa zinazotokana na mapato rasmi na ambazo moja kwa moja zinakuwa kwenye hesabu zinazoleta GDP. Hivyo Mtanzania anayefanya kazi bila kulipa kodi, analinyima taifa mapato ambayo yangetumika kujenga barabara, shule au hospitali.

Na vilevile taifa lenye GDP ndogo linakuwa na uwezo mdogo wa kutoa huduma muhimu kwa watu wake. Na hii inajionyesha na uwezo wa Tanzania kutoa huduma muhimu kwa wananchi wake na hapa ndipo index zingine za maendeleo zinapotumika. Je katika GDP, serikali imetumia sehemu gani katika kuleta maendeleo?

Na vilevile GDP kubwa inaonyesha uwezo wa serikali lakini sio nia ya serikali kutoa huduma kwa watu wake. Kwa mfano kuna nchi zilizo na GDP kubwa kuliko Tanzania lakini pesa za serikali zinatumika zaidi kuneemesha waliopo madarakani na sio wananchi. Katika nchi kama hizi relevant ya GDP kama kipimo cha maendeleo haipo.

Tatizo kubwa kwa Tanzania ni formula ya kukuza GDP. Toka tumepata uhuru, juhudi kubwa hazijalenga kuongeza idadi ya watanzania watakaochangia mapato rasmi ya serikali. Ukiona wanasiasa wa Marekani wanapiga kelele kuhusu Middle Class na Small Business Owners, wana maana ya walipa kodi na watakaotoa ajira.

Ni imani kuwa mabadiliko makubwa yatatokea iwapo tutaongeza idadi ya watanzania wanaoweza kuchangia mapato rasmi ya taifa.
 
Nimefurahishwa na post ya Masanja na reaction yake. I just wish if all Tanzanians were aggressive like him hata kwa maneno tu inatosha. Speaking of maisha vijijini, sijui wangapi mmekulia au mmetembela vijijini. Kwa wale wa Kilimanjaro na vijiji vingine vyenye maendeleo nisingependa mjihesabie kwamba mmekulia vijijini maana huko kuna umeme, maji, zahanati etc. Mimi nimebahatika kutembelea kanda ya ziwa, hasa maeneo ya mkoa was Shinyanga. Huku nafikiri ndio mtu unapata picha halisi ya umaskini. Hili eneo ni kama sana wakati wa kiangazi. Wanyama hukonda sana kwa kukosa maeneo ya kuchungia kutokana na ukame uliokithiri. Huduma za kijamii katika vijiji vingine hazipo kabisa. Mfano, unakuta bwawa la maji ya mvua, ndio ng'ombe wanakunywa maji na kunya humo humo, wanakijiji wanafua, kuoga na kuchota maji hayo hayo kwaajili ya kunywa na matumizi mengine nyumbani. Na baada ya kiangazi kifupi tu, mabwawa haya hukauka na wananchi hulazimiki kufuata maji umbali mrefu. Huduma za afya ndio balaa. Zahanati ziko mbali sana na vijiji. Watu wanasafiri for more than 100kms kwa kutumia baiskeli au mkokoteni wa kuvutwa na punda kwenda kwenye zahanati ambazo hazina dawa.

Nina mengi ya kuandika hapa, maana kazi yangu ya utafiti madini inanipeleka katika vijiji vingi na kujionea hali ilivyo ya kutisha. Tuzidi kusali sana!
 
Inasikitisha sana

Kungekuwa na indicators nzuri tungeona "negative GDP" kila mwaka.
 
Lakini huko si ndio anakotoka mzee wa vijisent 'CHENGE'?
 
Inasikitisha sana

Kungekuwa na indicators nzuri tungeona "negative GDP" kila mwaka.

Kama sijasahau Gross quantity siku zote ni zero au positive. Na idadi ya watu siku zote ni positive. Hivyo zero au positive number kugawa kwa positive number bado unapata zero au positive. Hivyo kwa mawazo yangu mafupi GDP haiwezi kuwa negative.
 
INGAWA itakuwa vigumu kubadili tabia za waandishi wetu wanakula na kunywa siasa lakini madhali fursa hii ipo acha nianze kuitumia. Na pengine kuna wawili watatu watakaoniiga na tukaanza kugonga hodi kwenye vichwa vya Watanzania kuwa mabadiliko ya hali zetu za maisha kutoka kwenye umasikini kwa walio wengi wa kutisha kwenda kwenye nafuu hayatakuja kwa kuwa mwanachama wa chama hiki au yule; au kwa kumpenda na kumpigia debe fulani awe rais; au kwa ahadi na mbwembwe za kisiasa bali kutokana na mikakati inayoweza kufuatiliwa na mimi na wewe ili kuiondoa nchi yetu kwenye GDP per capita ya kitoto ya $600 kisha tuipeleke kwenye $1,000 halafu $ 2,000 halafu $ 4,000 na ifikapo 2020 tuwe tupo kwenye ktu kama $12,000 hivi.

Zipo njia mbalimbali za kulipigia debe hili. Mimi nitaanza kwa kuziangalia wizara nyingi za nchi hii ambazo nafikiri zinajua zaidi ofisi zenye airconditioner kuliko challenges au changamoto za kukuza GDP per capita kwa kuangalia mambo yanayoangukia chini ya wizara zao.

Nifuatilie na katu hutosikitika kusoma maendeleo ya makala haya ya Tuzungumze Uchumi katika JF.

Karibu sana,

Tuanze na wizara gani? nawapeni challenge kwa hili. Semeni na mimi nitaonesha kwamba kila wizara inaweza kuwa na mchango kwa GDP per capita na hivyo maendeleo ya Watanzania wote. Ila nitoe onyo: Lazima ufisadi uwe nje, ubinafsi nje, kujitajirisha na kujilimbikizia mali kiasi unaziacha zote ukifa zitumiwe na wahuni na wakora na mpaka wabaya wako nje; ahadi zisizo na fikra nje; uvivu nje; misaada toka nje, nje na longolongo zote nje.

TUFIKIRIE tU kuongeza GDP per capita kwa kile tulicho nacho, akili, maarifa, rasilimali chache zilizopo bila kuweka matumaini ya kusaidiwa na nchi hi au ile.

Ninashauri muangalie website hizi:
A. Human Development Index

SOMA Basics za Human developmen t Index-[Ikitumiwa vizuri tunaweza kunyanyua DDP Per Capita yetu]

B. Mo Ibrahim Index of African Governance

TUZO LA MO IBRAHIM [Ukiwa Rais huna haja ya kuiba tena labda umezaliwa mwizi na utakufa mwizi!]

Mo Ibrahim anatoa zawadi kwa kiongozi wa Afrika anayetawala vizuri na kuleta maendeleo ya kweli nchini mwake. Zawadi hii inamzuia kabisa mtu mcha-Mungu, mpenda watu wake na anayegombea uongozi sio kwa faida yake bali kwa sababu za kuitoa nchi yake kwenye aibu ya umasikini wakati nchi ina kila sababu ya kuwa tajiri KUTOKUWA NA SABABU YA KUIBA NA KUJILIMBIKIZIA MALI KABISA KABISA! Ila tu kama kiongozi huyo ni mtu aliyezaliwamwizi na atakufa mwizi!

Je, mmepata mwanga wa vitu gani tunavyoweza kuviangalia ili kuhakikisha harakati za kuongeza GDP per capita kwa maneno bora zaidi UHURU KWA GDP per capita kwa Mtanzania uje ni zipi?

READ THIS TOO:
GDP dollar estimates for all countries are derived from purchasing power parity (PPP) calculations rather than from conversions at official currency exchange rates. The PPP method involves the use of standardized international dollar price weights, which are applied to the quantities of final goods and services produced in a given economy. The data derived from the PPP method provide the best available starting point for comparisons of economic strength and well-being between countries. The division of a GDP estimate in domestic currency by the corresponding PPP estimate in dollars gives the PPP conversion rate. Whereas PPP estimates for OECD countries are quite reliable, PPP estimates for developing countries are often rough approximations. Most of the GDP estimates are based on extrapolation of PPP numbers published by the UN International Comparison Program (UNICP) and by Professors Robert Summers and Alan Heston of the University of Pennsylvania and their colleagues. In contrast, the currency exchange rate method involves a variety of international and domestic financial forces that often have little relation to domestic output. In developing countries with weak currencies the exchange rate estimate of GDP in dollars is typically one-fourth to one-half the PPP estimate. Furthermore, exchange rates may suddenly go up or down by 10% or more because of market forces or official fiat whereas real output has remained unchanged. On 12 January 1994, for example, the 14 countries of the African Financial Community (whose currencies are tied to the French franc) devalued their currencies by 50%. This move, of course, did not cut the real output of these countries by half. One important caution: the proportion of, say, defense expenditures as a percentage of GDP in local currency accounts may differ substantially from the proportion when GDP accounts are expressed in PPP terms, as, for example, when an observer tries to estimate the dollar level of Russian or Japanese military expenditures. Note: the numbers for GDP and other economic data can not be chained together from successive volumes of the Factbook because of changes in the US dollar measuring rod, revisions of data by statistical agencies, use of new or different sources of information, and changes in national statistical methods and practices.
 
UNATAKIWA kusoma kwanza website hizi kabla hujafuatilia mjadala huu au mazungumzo haya kwa makini na uelewa mkubnwa zaidi:

TUFIKIRIE tU kuongeza GDP per capita kwa kile tulicho nacho, akili, maarifa, rasilimali chache zilizopo bila kuweka matumaini ya kusaidiwa na nchi hi au ile.

Ninashauri muangalie website hizi:
A. Human Development Index

Human Development Index - Wikipedia, the free encyclopedia

B. Mo Ibrahim Index of African Governance

Tuzo la Mo Ibrahim la Kufaulu kwa Uongozi wa Kiafrika
 
HII NI LISTI YA WACHOVU KULIKO WOTE DUNIANI

YANGAPI NCHI GDP pc Tarehe makadirio
209 Liberia $ 1,000 2003 est.
210 Mali $ 900 2003 est.
211 Guinea-Bissau $ 900 2003 est.
212 Kiribati $ 800 2001 est.
213 Zambia $ 800 2003 est.
214 Nigeria $ 800 2003 est.
215 Madagascar $ 800 2003 est.
216 Yemen $ 800 2003 est.
217 West Bank $ 800 2002 est.
218 Niger $ 800 2003 est.
219 Afghanistan $ 700 2003 est.
220 Ethiopia $ 700 2003 est.
221 Eritrea $ 700 2002 est.
222 Comoros $ 700 2002 est.
223 Congo, $ 700 2003 est.
224 Burundi $ 600 2003 est.
225 Congo, DR` $ 600 2003 est.
226 Tanzania $ 600 2003 est.
227 Malawi $ 600 2003 est.
228 Gaza Strip $ 600 2003 est.
229 Sierra Leone $ 500 2003 est.
230 Somalia $ 500 2003 est.
231 East Timor $ 500 2001 est.
 
MBONA nimeshindwa kuzipata website za Human Development Index na hiyo ya Mo Ibrahim Index for Afrian Governance?
 
Kwanza, hongera Mzee Sammy kwa kushusha tena kitu kama hiki. Ninaamini unawafungua macho Watanzania kwa aina yake.

Pili na wewe Iga vipi? Mbona ni rahisi tu ....wewe type majina hayo na zitakuja website kadhaa. Kama kawaida kuna wababaishaji halafu na zile za kweli ukishafungua utajua kwa kuona unachotaka kiko pale moja kwa moja.

HDI iko hapa:

Human Development Index - Wikipedia, the free encyclopedia

Na Mo Ibrahim, tena kwa Kiswahili fasaha, hii hapa:
Tuzo la Mo Ibrahim la Kufaulu kwa Uongozi wa Kiafrika
 
huko OCngo kwenye vita kila siku check mambo yao... hii ni $%&^#&^^!@#!()#&
 
INGAWA itakuwa vigumu kubadili tabia za waandishi wetu wanakula na kunywa siasa lakini madhali fursa hii ipo acha nianze kuitumia. Na pengine kuna wawili watatu watakaoniiga na tukaanza kugonga hodi kwenye vichwa vya Watanzania kuwa mabadiliko ya hali zetu za maisha kutoka kwenye umasikini kwa walio wengi wa kutisha kwenda kwenye nafuu hayatakuja kwa kuwa mwanachama wa chama hiki au yule; au kwa kumpenda na kumpigia debe fulani awe rais; au kwa ahadi na mbwembwe za kisiasa bali kutokana na mikakati inayoweza kufuatiliwa na mimi na wewe ili kuiondoa nchi yetu kwenye GDP per capita ya kitoto ya $600 kisha tuipeleke kwenye $1,000 halafu $ 2,000 halafu $ 4,000 na ifikapo 2020 tuwe tupo kwenye ktu kama $12,000 hivi.

Zipo njia mbalimbali za kulipigia debe hili. Mimi nitaanza kwa kuziangalia wizara nyingi za nchi hii ambazo nafikiri zinajua zaidi ofisi zenye airconditioner kuliko challenges au changamoto za kukuza GDP per capita kwa kuangalia mambo yanayoangukia chini ya wizara zao.

Nifuatilie na katu hutosikitika kusoma maendeleo ya makala haya ya Tuzungumze Uchumi katika JF.

Karibu sana,

Tuanze na wizara gani? nawapeni challenge kwa hili. Semeni na mimi nitaonesha kwamba kila wizara inaweza kuwa na mchango kwa GDP per capita na hivyo maendeleo ya Watanzania wote. Ila nitoe onyo: Lazima ufisadi uwe nje, ubinafsi nje, kujitajirisha na kujilimbikizia mali kiasi unaziacha zote ukifa zitumiwe na wahuni na wakora na mpaka wabaya wako nje; ahadi zisizo na fikra nje; uvivu nje; misaada toka nje, nje na longolongo zote nje.

TUFIKIRIE tU kuongeza GDP per capita kwa kile tulicho nacho, akili, maarifa, rasilimali chache zilizopo bila kuweka matumaini ya kusaidiwa na nchi hi au ile.

Ninashauri muangalie website hizi:
A. Human Development Index

SOMA Basics za Human developmen t Index-[Ikitumiwa vizuri tunaweza kunyanyua DDP Per Capita yetu]

B. Mo Ibrahim Index of African Governance

TUZO LA MO IBRAHIM [Ukiwa Rais huna haja ya kuiba tena labda umezaliwa mwizi na utakufa mwizi!]

Mo Ibrahim anatoa zawadi kwa kiongozi wa Afrika anayetawala vizuri na kuleta maendeleo ya kweli nchini mwake. Zawadi hii inamzuia kabisa mtu mcha-Mungu, mpenda watu wake na anayegombea uongozi sio kwa faida yake bali kwa sababu za kuitoa nchi yake kwenye aibu ya umasikini wakati nchi ina kila sababu ya kuwa tajiri KUTOKUWA NA SABABU YA KUIBA NA KUJILIMBIKIZIA MALI KABISA KABISA! Ila tu kama kiongozi huyo ni mtu aliyezaliwamwizi na atakufa mwizi!

Je, mmepata mwanga wa vitu gani tunavyoweza kuviangalia ili kuhakikisha harakati za kuongeza GDP per capita kwa maneno bora zaidi UHURU KWA GDP per capita kwa Mtanzania uje ni zipi?

READ THIS TOO:
GDP dollar estimates for all countries are derived from purchasing power parity (PPP) calculations rather than from conversions at official currency exchange rates. The PPP method involves the use of standardized international dollar price weights, which are applied to the quantities of final goods and services produced in a given economy. The data derived from the PPP method provide the best available starting point for comparisons of economic strength and well-being between countries. The division of a GDP estimate in domestic currency by the corresponding PPP estimate in dollars gives the PPP conversion rate. Whereas PPP estimates for OECD countries are quite reliable, PPP estimates for developing countries are often rough approximations. Most of the GDP estimates are based on extrapolation of PPP numbers published by the UN International Comparison Program (UNICP) and by Professors Robert Summers and Alan Heston of the University of Pennsylvania and their colleagues. In contrast, the currency exchange rate method involves a variety of international and domestic financial forces that often have little relation to domestic output. In developing countries with weak currencies the exchange rate estimate of GDP in dollars is typically one-fourth to one-half the PPP estimate. Furthermore, exchange rates may suddenly go up or down by 10% or more because of market forces or official fiat whereas real output has remained unchanged. On 12 January 1994, for example, the 14 countries of the African Financial Community (whose currencies are tied to the French franc) devalued their currencies by 50%. This move, of course, did not cut the real output of these countries by half. One important caution: the proportion of, say, defense expenditures as a percentage of GDP in local currency accounts may differ substantially from the proportion when GDP accounts are expressed in PPP terms, as, for example, when an observer tries to estimate the dollar level of Russian or Japanese military expenditures. Note: the numbers for GDP and other economic data can not be chained together from successive volumes of the Factbook because of changes in the US dollar measuring rod, revisions of data by statistical agencies, use of new or different sources of information, and changes in national statistical methods and practices.

Sammy,

Ahsante kwa maada yako murua.

Lakini napenda kusema kwamba, kama huonglei siasa kwa maan ya "si-hasa" ambapo nitakuelewa, nafikiri ni makosa kutaka kutenganisha uchumi na siasa, kwa sababu mfumo wa uchumi unategemea siasa (wajamaa wanafanya umiliki wa njia kuu za uchumi ziwe kwa watu wote, watu wa soko huria wanaamini katika umiliki binafsi wa mali na njia kuu za uchumi). Vile vile tunaona jinsi uchumi unavyoweza kuongoza matokeo ya siasa.

Ukiangalia kwa mfano sehemu ya serikali na mipango yake ya kiuchumi, kwa mujibu wa mifumo ya John Milton Keynes, ambayo mingi hufanywa kwa kufuata manifesto za kiuchumi zinazojengwa kwa nadharia na dira za kisiasa, utaona kutenganisha siasa na uchumi ni sawasawa na kutenganisha upande mmoja wa shilingi na mwingine, kama utaweza kutenganisha haitabakia kuwa shilingi.

Mimi naona, badala ya kutaka kutenganisha uchumi na siasa, tuweke mkazo zaidi wa kuwa na siasa zilizojikita katika uchumi, zinazoongozwa na sera madhubuti, zinazofuata matakwa ya wengi na zenye maono ya muda mrefu.

Pia ukiongea GDP per capita kimsingi unaongelea mchango wa kila mmoja, kwa hiyo ningependa kuona mkakati wa kuwahusisha wananchi kutoka chini kwenda juu, zaidi ya mkakati utakaoanza na kuangalia wizara na kupanga mambo kutoka juu kwenda chini.Kwa maoni yangu mpaka sasa tupo hapa katika umasikini kwa sababu watu wa juu hawajui matatizo ya wachini, na wachini hawawezi kuwafikia wa juu kuwaeleza matatizo ya kweli. Ikifikia muda mtu wa chini amefika juu anakuwa kashachoka na kukata tamaa kwamba matatizo yetu hayatatuliki na mwishowe anaishia kujitafutia maisha yeye na familia yake, ndiyo maana ufisadi unakuwa sugu.

Kuna mengi lakini kwa sasa ni hayo.
 
Pundit nakubaliana na wewe to some extent, na pia sikubaliani nawe kwenye kwa upande mwingine.

Moja kweli sera za uchumi zinategemeana na mrengo wa siasa. Lakini sera za uchumi ni the same kwa maana unataka kuachieve nini-

mfan lengo ni eqyuitable income distribution unaangalia tax system ambayo inaendana na lengho hilo pamoja na utoaji huduma (afya, elimu nk) ambayo inatoa ahueni kw kundi linalolengwa. Lakini kwa sasa tunafahamu mfumo wa uchumi tulio nao so sidhani kama ni suala la msingi kwa sasa.

Ndugu Sammy....

Umekuja kwa mbwembwe nyingi sana ila bado sijaona mada yenyewe tunakusubiri maana kama ulivyosema ni wakati wa economic news rather than polictics. Mimi ni mpenzi saaaaaaaaaana wa economic news na ninakautalamu kadogo ka uchumi so nitajaribu nami kuchangia. Tunakusubiri kwa hamu uje na uanzishe hoja.
 
Wakuu zangu kusema kweli mimi sijawaelewa kabisaaaa!..Naomba darasa kidogo.

Navyofahamu mimi, kukua kwa GDP hakuna maana kunapandisha pia Human Development ya nchi husika..
Unaweza kuona kwamba nchi kama Qatar au Brunei ambazo zinaongoza duniani kwa kuwa na high GDP (PPP) lakini haziongozi ukitazama Human development index ya nchi hizo...
Na sababu kubwa zinazohusiana na mapungufu yatokanayo na vitu hivi viwili inatokana na siasa ama niseme mfumo wa Utawala uliopo... Hizo sababu zote ulizozitaja hapo juu ambazo hutaki ziunganishwe na mada hii ndizo sababu kubwa za mapungufu ya Utawala bora kiasi kwamba hata kama GDP ya nchi itakuwa imepanda juu kiasi gani, bado utahitaji mgao wa Utajiri huo ktk sehemu ambazo zinaweza kupandisha maisha ya wananchi wake..
 
GDP - per capita (PPP):
$1,300 (2007 est.)

Source: CIA FACTBOOK
 
Naomba kuchangia kidogo kwenye hii mada.
Haya ni mawazo yangu tu na naomba mnisamehe kama yatakuwa yanaonekana yamepinda pinda.

Ni ukweli usiofichika kuwa kuna uhusiano wa GDP na idadi ya watu pia na standard ya maisha. Sasa watu wamebaki kuzungumzia siasa wanaacha mambo ya uchumi yakielea yenyewe. Nafikiri pia kuwa serikali inashindwa kuwekeza kwenye research kuweza kutoa mwanya wa nini kinatokea. Kwa mfano mwaka 1960-2000 GDP per capita ya Tanzania ilikuwa kwa UsD120 kutoka USD 450 - $570 tu wakati idadi ya watu ilikuwa chini ya Mil 10 to about 30mil. Hii iliiweka Tanzania kwenye nafasi ya mwisho kwa utajiri i.e. ya kwanza kwa umasikini. Nchi kama Taiwan, Singapore, Botswana, zilikuwa na ukuaji mzuri wa uchumi kwa kipindi hicho na sasa angalia wapo wapi.

Hii inatokana pia na ukweli kuwa nchi masikini zinatumia sana fedha bila kujali.
Sasa kitu ambacho najiuliza sipati jibu ni huu unaoitwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania ambapo kila mwaka tunaambiwa unakuwa sijui kwa asilimia 7. Hivi karibuni yalitokea malalamiko kwa wananchi wa kawaida kuwa kama uchumi unakuwa mbona hatuoni mabadilik o yeyote. Kwa mfano katika mwaka 1960-2000 uchumi wa marekani ulikuwa kwa wastani wa asilimia 1.8% pekee kwa kila mwaka na kuweza kuongeza mara 10 zaidi GDP per capita. Hapa wketu nafikiri kuna siasa zaidi. Kwa mfano tunaambiwa uchumi unakuwa lakini hakuna uzalishaji wa maana. Zaidi ya asilimia 90 ya nguo zote ambazo zinavaliwa na kila mtu Tanzania hii zinatengenezwa nje. Viwanda vya baiskeli, maziwa, ngozi, banki na vingine vimebinafsishwa na kuna watu walipewa dhamana ya kuviendesha na wakaviua. Hakuna hatua vikauzwa kwa mlango wa nyuma. Uwekezaji ambao ulipaswa hata kutopotea kama benki ya nyumba, viwanda vya madawa, baiskeli, mbolea, mashamba ya NAFCO, nk vimeishia kama vile Tanzania ndio imefika. Isitoshe ni kuwa GDP tunayoifurahia inatokana na uzalishaji wa makampuni ya nje kama viwanda vya cement, kampuni za vinywaji, kampuni za simu, madini, utalii hoteli na mengineyo, tunatumia hela kuleta wawekezaji, GDP inaonekana kubwa kumbe hakuna kinachobaki nchini, watu wanaendelea kuwa masikini.

Kuna mambo mengine mengi tu yanayochangia kukua kwa uchumi ama pato la taifa kwa kila mtu (Per Capita GDP) nitataja machache tu ambayo yanasumbua kwa sasa.
1. Kiwango cha elimu - fikiria wizi wa mitihani, migomo ya walimu na wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu.
2. Utafiti wa kina na technolojia - Jee kuna vyuo gani vya utafiti makini vimesalia hapa nchini? Vyuo vya utafiti wa kilimo/mifugo, vile vipindi vya Ijue Pamba, Kahawa, Chai, vimetokomea wapi? Je watanzania walishaelewa vya kutosha na wana habari zote kuhusiana na tafiti mpya zinazoathiri uzalishaji wao wa kahawa, pamba, nk?
3.Sera za serikali - Zikoje? nani anazitunga kwa faida ya nani? Mifumo ya serikali ikoje katika kupambana na ruhswa kubwa kubwa zinazosababisha capital flights?
4. Demokrasia - Je kuna demokrasia Tanzania? Badala ya kuhagaika sasa kuongeza ukubwa wa bunge tufikirie kuongeza wapinzani bungeni. Kama kuna kitu mwafaka kinatakiwa kifanyike ni kuvunjika kwa CCM vipande viwili kuwe na mvutano wa kutosha na upinzani wa kweli wa kuwasaidia akina Slaa na Zito bungeni. Kazi yao nafikiri imeonekana na wana JF nafikiri tunaikubali.
5. Idadi ya watu - Kuna ongezeko la idadi ya watu hapa nchini. Ni kitu kizuri. Lakini je, serikali yetu imejiandaa vipi kutumia nguvu kazi hii na kuelimisha watu ili waweze kuwa na ajira, kubuni kazi nk. Sasa hivi tunasikia oohh shirikisho la Africa Mashariki eti watu waje wafanye kazi huku na kuchukua mashamba. Tumewaandaa vipi watu wetu kukabiliana na changamoto hizi? Ni kweli kuwa ushirikiano wa kibiashara unaongeza GDP lakini tumefanya uchambuzi yakinifu wa jinsi tutakavyofaidika na kumewaanda vipi hao ambao wataweza kufaidika kwa muungano huo?

Mawazo yangu nafikiri kuwa serikali ama kikundi cha watu wajitolee kufanya utafiti ambao utaliweka taifa letu katika mustakabali wa uchumi endelevu. Waangalie pande zote watengemneze model ya uhakika. Hiki kiwe kikundi ambacho kitakuwa na watu makini wenye uzalendo (na si wenye sura ya kifisadi ama kupenda siasa) na kinaweza kuanza hapa hapa JF. Kiangalie mustakabali wa uchumi na hatua mwafaka za kuchukuliwa kubnusuru uchumi wetu. Kitoe mapendekezo kwa Rais na kishambaze mapendekezo hayo kwa wananchi wote. Tuwe na utaratibu kuwa Raisi ajaye baada ya mapendekezo hayo ayafanyie kazi moja baada ya jingine na aapishwe kwa hilo.

Cha pili ni kuwa watu wote waliohusika kuhujumu uchumi wetu na ambao wanaendelea kufanya hivyo washitakiwe kwa mujibu wa sheria. Tuanze Tanzania mpya yenye kujali uzalendo na maadili ya kazi. Hatujachelewa sana lakini tukiendelea tutajikuta tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu ya asali na dhahabu.
 
Back
Top Bottom