Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

am happy kwa statement hii

alikuwa a big threat kwa Naija, ametumia mbinu chafu kumtoa. Mwaka jana hawakushinda, na kama ujuavyo wanaija wanavyochuka kushindwa bba maana wao ndio waandaaji, Abiola.

Na nando alikuwa kajipanga mno, alikuwa na amekubaliana na watu kadhaa hawa-nominatiani, ambayo ilikuwa inamfanya songe bila nomination.

He was real playing his game.

kusema ukweli Nando alikuwa threat kwa yule mjinga wa kinaijeria'ametumia akili ya hali ya juu kummaliza
 
"a nigga like that deserve to die"
kwan alimfanya nn,?
waTZ hatukubali kuonewa kijinga thts the spirit
 
Yote haya ya Big Brother naona ni upuuzi mwingine wa kikoloni eti watu wanakusanywa kwa siku kadhaa nakufungiwa zizini wanaanza ngono dunia ikiwashuhudia wanaingia bafuni uchi wa mnyama na watu wenye akili zao wanahamashishwa eti kuwapigia kula waendelee kujianika uchi.
Hivi unyambilisi huu ni kwa faida ya nani watu tumebakia kuitwa watu kwa vile tuna miili lakini si watu tena ni mazombi.
 

..... Mi nilidhani mtu kua mkorofi ni tabia yake binafsi na havihusiani kabisa na asili ya kuzaliwa kwake. Maana kama watukutu na wakorofi wote ni matokeo ya akina baba kuzaa nje ya ndoa basi ipo kazi. Na kwa nini baba?! Kuna haja ya kufanya research na DNA za kutosha hapa, maana nikiangalia kwa haraka haraka matukio ya uhalifu, nashindwa kutoa hitimisho jepesi.
 
Big brother is full of shit. Mnaoangalia huwa mnajifunza nini.
 
Wazungu wajanja sana,wanaona kashapata gono lake na ngoma ndo wanamu evict,karibu Nando uungane na Taifa stars

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Big brother is full of shit. Mnaoangalia huwa mnajifunza nini.

Kujifunza jinsi binadamu tulivyo. Na hivyo ndivyo tulivyoweza kumjua Nando jinsi alivyo.

My take: malezi ya mtoto ndiyo yanakupa picha ya kuwa atakua mtu gani akiwa mtu mzima. Wazazi tujifunze kuwajengea watoto wetu misingi mizuri ya kujijali na kujali utu. Mtu kama Nando anaonekana hajui thamani ya maisha, kwake yeye kutoa uhai wa mtu ni kitendo anachoona ni cha kawaida sana. Si yeye, ni makuzi, amekua kwa kujihami awapo popote hata kwenye nyumba za ibada. Maisha yake yote hana usingizi wa kudumu analala huku akiwa na machale kichwani kuwa labda kuna mtu atakuja kumdhuru na ndio maana analala na silaha. So BBA yaweza kuwa upuuzi lakini kuna vitu vy kujifunza.
 
Kiko wapiiiiii?nauliza kiko wapiiii?? tulisema toka mwanzo tukaonekana haters....huu mwaka mmeingiza wala unga na wambea na wanafiki tu. Hahahahaha mtawatetea sana ila kuweni fair tu kwa nafsi zenu mwaka huu ni majanga. Kutoka marekani kilijiona ndio chenyewe kumbeee kinajiharibia mchezo. hata treatment yake kwa selly haikuwa fair, alionekana kama getto boy flani asiye na maadili. Mama una kazi usipofunza mwanao atafunzwa na ulimwengu. Ghana wanamsubiri akatize pande hizo.

Yes nimesema.
 
Reactions: PSM

ukweli mtupu mkuu..hat a Mimi nimegundua hii show inapangwa aisee...
 
Kama msela anaweza kusema hayo kwenye show basi hajisomi....
Mambo gani, watu wanakaa kukupigia kura afu unaleta ujinga, hela zilizowatoka na muda then unasababisha kujitoa mwenyewe,
Nappun norm...
 
BBA c ni reality show?kuishi maisha yako halisi na c kupretend?me cjaona tatizo kwake maana ameonyesha maisha yake halisi haswaaa!!!!
 
Watoke tu sioni wanachofanya cha maana zaidi ya uhuni na mambo yasiyofaa hasa kwa jamii yetu


 
BBA c ni reality show?kuishi maisha yako halisi na c kupretend?me cjaona tatizo kwake maana ameonyesha maisha yake halisi haswaaa!!!!

Maisha yake halisii ya kupigana!!!!!!!!

haya ubabe wake umeishia wapi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…