Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

Aende zake. Angebakia na kushinda mngenufaikaje? Angalieni mambo ya maana. Hiyo BBA mbona sio issue ya maana..
 
na leo feza amepata 5 nominations duh! kila housemate anatoa reason hiyo hiyo. dilish ameelezea vizuri kuwa feza initially was very focused,now she has changed alot ,all she is doing is to chill with his boyfriend,she is not the one they know.

Ujiandae tena kufika JNIA kumpkea next monday coz ni target ya Africa by now by any means. So sad kwamba Babra alichukua watu wake anaowajua. Social aspect ya Wema sepetu hasa upande wa kuhusiana na watu sio mbaya kihiiivyo. Kwanini atupelekee watu wa aina ile?? sio kwamba alibadilika ila ndivyo alivyokuwa sema tu tabia ilikuwa bado kujionesha.
 
Aende zake. Angebakia na kushinda mngenufaikaje? Angalieni mambo ya maana. Hiyo BBA mbona sio issue ya maana..

kama thread unaona haikuhusu usifungue,au soma kimya kimya.we ni nani wa kuwachagulia watu wazima wenzio vitu vya kuangalia...kuna vitu na we unafanya ambavyo kwetu c vya maana,lkn hatutaweza kuingilia uhuru wako as long as ni choice yako na haiaffect maisha yako
 

labda wema hakukidhi vigazo! na zile cellulites afrika wangemsemaje kwa kujichubua
 
hasira hasara na vema kufikiri kabla ya kutenda, rudi tu home umesha turudishia aibu ambayo ww waona ndo zawadi kwetu
 
Hahaha ila wangempenda tu kwa kale kasauti na how romantic she is. Wema anapendwa wewe pamoja na mchubuo wake

ile sauti ndo kabisa watu wangeona anaigiza!nakumbuka mwaka wa kina lotus na bhoke kuna mshiriki kutoka SA nkuli,alikuwa na kisauti chembamba alikuwa anakera afrika na wala hakukaa sana.

nadhani feza alichoshindwa ni kumantain lie tabia yake ya awali hata kama ni fake,angeigiza hivyohivyo...angekuwa kama dilish anavyopendwa sasa ingawa hana la lolote zaidi ya tabia njema,anaongea vizuri na watu na hana chuki na housemates,kila mtu anamwongelea vizuri,imagine hadi pokelo ambaye watu tulimwona very arrogant lkn yy alimsifia
 

Pokello hakuwa na shida yoyote, aliyempaka ubaya ni fezza kwa kuona hamfikii kwa lolote. Bila fezza kumchafua pokello kwa other housemates pokello hakuwa that bad. Muosha huoshwa wiki hii west, na south wamempania sana. Huwezi ficha tabia kwa zaidi ya mwezi. Ili ujue fezza alikuwa na chuki tu dhidi ya pokello umeona alliance waliyoijenga kumuondoa elikeem?
 
Hoja Yangu!!
hivi kweli imefika mahali tunauza utu wetu kwa pesa?? kuna tofauti gani kati ya mashindano haya ya laana na kucheza picha za ngono?? namtofautishaje Cherokee D'ass, Flower Tuci, Lexington Steel, na Mandingo wacheza picha za ngono waliobobea kwa kujiweka wazi mbele ya ulimwengu na Washiriki mashindano haya yaliyojaa upuuzi na ushenzi????
this is not life at all, yaani makampuni ya matangazo yana take advantage ya shida zako na kukuanika maisha yako na uchi wako kwa ulimwengu yet mtu mzima na akili zako timamu unakaa unachekelea na kufarijika kwa ajili ya pesa dhalili??
Well hilo si jambo saana kwani hayo tunawezajitetea na kusema ni maamuzi na maisha binafsi ya mshiriki wa mashindano hayo yasiyo na maana.. Je tunadiriki vipi kama Umma wa Wakiafrika kuwageuza hawa washiriki kuwa kuoo cha jamii?? iweje leo hii tunawaita ni masupastaa na kuwajaza kwenye spotlight za jamii kila kukicha?? je tunafanya hayo kwa kuwa nasi tumekubaliana na ulimbukeni wao na tunaona fahari kushuhudia nyuchi zao?? ama tunafanya hayo kwa kutokujua athari za matendo yao kwa kizaki cha leo na cha kesho cha kiafrika?? je ushabiki wetu kwa matendo yao hayo ya laana unatoa mwongozo wa namna gani kwa Kizazi kilichopo?? have we really lost our minds??? kikweli ninasema haya ninayo yasema kwa machungu makubwa mno as a person ninayejali mustakabali chanya na wenye maendeleo tangible kwa kizazi cha Africa. nashindwa kuelewa ni kwanini hii leo tunakubaliana na makampuni ya matangazo ya kifedhuli katika ku degrade utu wa mwanadamu na Muafrika parse.. hii ni mbaya sana itafika mahala thamani ya utu na maisha ya mtu itatoweka na tubaki kama wanyama wa porini teena wasiokuwa na haya wala soni..
Watoto na vijana wanaoingia utu uzimani tunawapa mifano gani kutokana na uholela wa maisha ndani ya mashindano hayo yasiyo na tija?? this is an embarrassment of our lifetime... halafu kinachoshangaza zaidi ni kwamba washiriki wameacha familia zao huko walikotoka ambazo nazo zinawatizama kwenye luninga na intaneti huku zikiwashabikia kwa uhovyo hovyo wao ndani ya jumba la maisha ya kishenzi... daahh!! this is bad... well it really sucks... and we can not deny that no matter what hoja zitakazojengwa kutetea ushenzi wao na upuuzi wanaofanya mbele ya umma... itabakia kuwa THAT IS NOT LIFE!!!! end of Story....
 
There is nothing REAL in this show...Its a GAME!! Ndio maana watu wanabehave kama machizi mle ndani, na wengine pombe wamezijulia mle ndani ndo maana zikiwakolea kidogo tu wanalipuka mbaya kama huyu dogo Nando...
 
ndo maana ikaitwa reality show,kwamba unaonyesha maisha yako halisi unavyoishi in daily life.sitetei wanaokwenda lkn lazima ukubali watu tumelelewa kwenye maadili,imani na mazingira tofauti sana.

the show is rated 18 so wanaoangalia ni watu wazima,wanajua lipi jema lipi baya na ndo maana wengi wanaoondolewa ni wale wanao onyesha tabia zinazochukiza watu na wenye tabia zinazowapendeza watu wanabaki.

mshindi wa bba wa kwanza cherise makubale kutoka zambia ni dada aliyekuwa anajiheshimu sana na aliutangza vyema utamaduni wa nchi yake na afrika kwa ujumla
 
Me huyo dogo kaniboa sana yan analeta mambo ya uswahili katika show kubwa kama ile ametuaibisha sana watanzania
 
True!True...event happened on Friday Big Brother brought it up on sunday that is so lame!...Nando was a threat they knew dude would have won.....the show is staged!...fake fake fakeeeeeeeeeeeee

 
I second that...Its a reality show...Big brother hakutakiwa kumpa Nando strike kwa kugombana ila angempe strike kwa kubeba sharp object....that si dengerous to himself and others...lakini meaning of reality show ni kuonyesha maisha yako...so kugombana ni kitu cha kawaida kabisa......This Big brother this is Bullshit!...

And come sunday utaona Feza anatoka..read my words maana leo ana kura 4 yeye pamoja na bwana yake...Lazima wanatoka wote maana Elikem ameshinda HOH there is a posibility he will save himself and replace somebody else


 
Ili nisiwabowe wengine wacha nipite tu, maana BBA kwangu ni upuuzi mtupu na am not interested at all.
 
Me huyo dogo kaniboa sana yan analeta mambo ya uswahili katika show kubwa kama ile ametuaibisha sana watanzania
Please hebu twende taratibu....

Unaweza kutueleza kuna heshima gani tunaweza kuipata Watanzania kwa vijana wetu kushiriki haya mapambio ya shetani?

Mashindano yenyewe tu ni aibu tosha sasa sioni ulipoaibishwa wewe pa ziada, unless uniambie kabila lenu ngono siyo faragha.
 

umesema unapita kimyakimya ili usiboe watu,haijapita hata mda ushasahau ulichosema!

unakuwa sirikali ya nji hii inaahidi hiki na kufanya kile wakidhan watu washasahau.....
 
umesema unapita kimyakimya ili usiboe watu,haijapita hata mda ushasahau ulichosema!

unakuwa sirikali ya nji hii inaahidi hiki na kufanya kile wakidhan watu washasahau.....
Haya bana ukumbi ni wenu, freedom of speech....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…