Labda kwa wale matajiri...Ni rahisi kwa mbantu kuoa mzungu kuliko kuoa msomali au mwarabu. Hao watu ni nadra kuchanyika na jamii nyingine tofauti na wao. Sio kwamba haiwezekani, lakini huwa hawapendi kuchanganyika.
Poleni ndugu zetu wa kagera,hata sisi kilimanjaro ilituuma sana mengi alipokufa,sasa matajiri wazawa wanazidi kupukutika ila msiba wa huyu ndugu haujawa na shamrashamra kama wa mengi kulikoni?
Luambo makiadi
Eindhoven Netherlands
Hakuwa anamiliki media wala kama huyo Mengi na Ruge.Poleni ndugu zetu wa kagera,hata sisi kilimanjaro ilituuma sana mengi alipokufa,sasa matajiri wazawa wanazidi kupukutika ila msiba wa huyu ndugu haujawa na shamrashamra kama wa mengi kulikoni?
Luambo makiadi
Eindhoven Netherlands
Humu jf atatuwakilisha kiduku liloMa bilionea wenzako watakutana kwenye msiba
mtu mwenye pesa kuliko familia yenu yoteKwani ni nani huyo Ally Mufuruki?
Apumzike kwa Amani.
Milembe sijui ipo kwaajili gani aiseeeNa mwenye serikali yake anakwambia malengo yake ni kutengeza wazalendo mabilionea na ukishindwa kua billionea kwny awamu yake hautakua billionea tena,hahaha.
Huko Kuna Hospital za kiwango Cha Kimataifa.Hivi huko south Africa mnapapendea nini?
Mbowe angekuwa Tycoon sema wanamfilisi wajinga ha ha ha ha jokingKwa hiyo sasa matajiri top ten tz wamebaki wahindi na waarabu Tu?
Kama heshima ni kunifunga mdomo nisijieleze, naomba wote wanaoniheshimu waache kuniheshimu mara moja.Mkuu unaheshimika hapa jukwaani........Jaribu kujitendea haki kwa kuheshimu watu wengine!
Acha kupotosha Ali ana mtoto wa kiume. Mtoto wake wa mwisho kwa mkewe Saada Mufuruki ni wa kiume.RIP the boss,ameacha watoto wa kike tu.
Sijui hata kwanini nimeandika suala hilo.
Hayo maduka yanahisiana na nini?
Usiseme binadamu sema wanalumumba, wana roho ngumu kama niniBinadamu!