Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Labda kwa wale matajiri...Ni rahisi kwa mbantu kuoa mzungu kuliko kuoa msomali au mwarabu. Hao watu ni nadra kuchanyika na jamii nyingine tofauti na wao. Sio kwamba haiwezekani, lakini huwa hawapendi kuchanganyika.
Wa mitaani ..unajivutia tu..