TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Ni rahisi kwa mbantu kuoa mzungu kuliko kuoa msomali au mwarabu. Hao watu ni nadra kuchanyika na jamii nyingine tofauti na wao. Sio kwamba haiwezekani, lakini huwa hawapendi kuchanganyika.
Labda kwa wale matajiri...

Wa mitaani ..unajivutia tu..
 
Poleni ndugu zetu wa kagera,hata sisi kilimanjaro ilituuma sana mengi alipokufa,sasa matajiri wazawa wanazidi kupukutika ila msiba wa huyu ndugu haujawa na shamrashamra kama wa mengi kulikoni?
Luambo makiadi
Eindhoven Netherlands
Hakuwa anamiliki media wala kama huyo Mengi na Ruge.

Wengine ilivuma Sana Kwa sababu ya media kama Ruge ambaye hata matajiri 1000 wa kihaya hayumo
 
Mapicha ya makazi yake Kama ilivyokuwa kwa mengi mbona hatuyaoni? Mbona msiba umepoa Sana kana kwamba sio mtu mkubwa?
fazili
Haya hapo.

Na mengine yanakuja kutoka Maruku bukoba vijijin
tapatalk_1575793649336.jpeg
 
Hapa ulimwenguni si nyumbani kwetu,bwana alitoa na bwana ametwaa......... pumzika kwa amani
 
Mungu amrehemu marehemu ampe pumziko jema....

Amina
 
Mkuu unaheshimika hapa jukwaani........Jaribu kujitendea haki kwa kuheshimu watu wengine!
Kama heshima ni kunifunga mdomo nisijieleze, naomba wote wanaoniheshimu waache kuniheshimu mara moja.

Niweze kujieleza kwa uhuru. Mimi napenda kujieleza kwa uhuru kuliko ninavyopenda kuheshimiwa.

Kwa sababu heshima inayokuja kwa kujizuia kusema unachofikiri, si heshima ya kweli, ni heshima ya kinafiki.

Na mimi sitaki unafiki

Mimi najiheshimu kuliko yeyote anavyoweza kuniheshimu, na hivyo naona habari yako passive aggressive ya kutumia heshima kuni censor iko flatfooted.

Mufuruki Mzee wangu in more ways than you can imagine.

Sasa ninapoongea ukweli halafu wewe ukaja kwa gia za heshima za kinafiki za kibongo, jua wazi kwamba nishazivuka.

Unataka kuniambia nini?

Say something concrete, usilete some vague insinuations.
 
ALLAAH AMREHEMU NA AMFUTIE MAKOSA YAKE NDG YETU ALIY.

PIA TUNAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUJIUNGA NASI KTK MSIBA HUU.
 
Back
Top Bottom