Ali Mufuruki amefariki dunia leo asubuhi huko Afrika ya kusini. Mwananchi wamethibitisha.
RIP
Ni habari ya inasikitisha sana. RIP Ali Mufuruki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali Mufuruki amefariki dunia leo asubuhi huko Afrika ya kusini. Mwananchi wamethibitisha.
Wewe ni mlalahoi mwenzetu, tena wewe ni mnyonge wa nchi hii😂😂Pole sana kwa wafiwa, Matajiri wa nchii tumepata pigo jingine kubwa ndani ya mwaka huu
GhaflaChanzo Cha kifo chake?
Mmoja wa wafanyabiashara maarufu Tanzania. One of the Tanzania businessman tycoonKwani ni nani huyo Ally Mufuruki?
Apumzike kwa Amani.
Hii ndio maana halisi ya maisha, if you thought life was so meaningful, just think about death.
Pole kwa familia!
Ungekuwa mlipa kodi ungemfahamuHebu tuwekee na picha tumuone wengine tulikuwa hatumjui