TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Infotech investment Group ambaye aliwahi pia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ali Mufuruki, amefariki Dunia akiwa Afrika Kusini.
#RIPNduguYetu🙏🏽
 
RIP mzee ally bt 2019 itakumbukwa sana na watz wengi coz tumepoteza wajenga uchumi wenye asilia ya taifa letu
 
Kwani ni nani huyo Ally Mufuruki?

Apumzike kwa Amani.
INFO TECH OWNER - BILIONEA NAMBA 5 TANZANIA.

INFOTECH.jpg
 
Kweli duniani tunapita tu kila mtu ajifunze. Wakunyanyua mabega wajifunze na kuheshimu wenzao. Kwamba njia hii ni ya wote hakuna atakayebakia.

Duuh mwaka umeenda na watu wakubwa waliofanya mabadiliko kwenye sekta ya uchumi, Mengi na sasa Mufuruki.

Mufuruki umefanya mengi katika sekta ya uchumi.

RIP.
 
Back
Top Bottom