TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Mauzo yake makubwa ni nini?
Simu, spare za simu, app. za simu, airtime, internet, software au ni nini?

Ubilionea wa mo na bakhresa twajua unatokana na nini. Hata Bob Sambeke tunajua akiuza madini.

Tutajieni na wateja wake.

RIP A. MUFURUKI
mimi pia nasubiri jibu maana naona inaelezwa jumla jumla tu
 
Daah mwaka huu tumepoteza watu muhimu, Tajiri wa Kichaga ametutoka RIP Mengi bado tajiri wa Kihaya RIP Ally Mafuruki na yeye ametutoka..... Hawa ndio walikuwa matajiri ambao wametoka kwenye maisha ya kawaida sana
 
Shughuli hii inafanyika katika ukumbi wa JNICC na kurushwa mubashara na luninga ya ITV pekee.

Nimewaona hapa Rais mstaafu mzee Mkapa, Mzee Warioba, Mzee Kinana na waxiri Angella Kairuki lakini sijabahatika kuwaona viongozi wa mkoa wa Dsm wala wale wa Jiji .

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
 
Yohana mbatizaji, mbona umeuliza swali 'illogical' sana? Kutokuwepo kwa hao viongozi wa Dar kunakwamisha kuagwa na mazishi kwa namna moja nyingine? Nipe sababu na umuhimu wa viongozi wa Dar kuwepo pengine nitakubaliana nawe
 
Nimegundua wengi wa waliohudhuria mkusanyiko wa kuaga mwili wa mfanyabiashara na Bilionea Ali Mfuruki ktk ukumbi wa JNICC asilimia kubwa ni wasomi.

Kingine ni kwamba nimeshuhudia matumizi makubwa ya lugha ya kiingereza tofauti na misiba mingine ya watu maarufu niliyowahi kushuhudia nchini.

Ama kweli kuna la kujifunza kwenye msiba huu ili hata sisi tujifunze kupambana kipindi cha uhai wetu ili siku Mola akituchukua tuache lugha mbalimbali zikinenwa kwenye misiba yetu.
R.I.P. ALI MFURUKI
 
Allah amrehemu ndudu yetu.............kweli tutaenda na amali na si mali leo Ali yeye na ubilionea wake aendi hata na mali moja?.......... tumrudie M/MUNGU kwakweli.
Mnyaaazi Mungu apite kushoto huko
 
...'Huyo mama wa Kisomali', Mkuu?
Ina maana sio ndiye Mkewe...ama sijaelewa?
Waislam wanaruhusa kuoa wanawake zaidi ya mmoja, hivyo sijui Mufuruki alikua na wangapi.

Pole mama Tegenye.
 
Back
Top Bottom