Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
mimi pia nasubiri jibu maana naona inaelezwa jumla jumla tuMauzo yake makubwa ni nini?
Simu, spare za simu, app. za simu, airtime, internet, software au ni nini?
Ubilionea wa mo na bakhresa twajua unatokana na nini. Hata Bob Sambeke tunajua akiuza madini.
Tutajieni na wateja wake.
RIP A. MUFURUKI