Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
mimi pia nasubiri jibu maana naona inaelezwa jumla jumla tuMauzo yake makubwa ni nini?
Simu, spare za simu, app. za simu, airtime, internet, software au ni nini?
Ubilionea wa mo na bakhresa twajua unatokana na nini. Hata Bob Sambeke tunajua akiuza madini.
Tutajieni na wateja wake.
RIP A. MUFURUKI
hujawahi kutana na Tundu Lissu wewe😀 😀 😀
Mkuu... familia yetu unaijua?
.....ila ni kweli!
OUT OF TOPIC:
Sijawah ona mtu m'bishi kama Kiranga
itakuwa ndio hako kanatuvurugua uzi wa "kula tunda kimasihara"Hapana sio huyooo na kadada kamod
tuwaambia nini watu alikuwa anatulisha???Wahaya watawambia nini watu
Hakuna maendeleo bila ubishi.hujawahi kutana na Tundu Lissu wewe
mimi pia nasubiri jibu maana naona inaelezwa jumla jumla tu
Upumbavu haba ni mzito kuliko hekima na heshima!
Mnyaaazi Mungu apite kushoto hukoAllah amrehemu ndudu yetu.............kweli tutaenda na amali na si mali leo Ali yeye na ubilionea wake aendi hata na mali moja?.......... tumrudie M/MUNGU kwakweli.
Waislam wanaruhusa kuoa wanawake zaidi ya mmoja, hivyo sijui Mufuruki alikua na wangapi....'Huyo mama wa Kisomali', Mkuu?
Ina maana sio ndiye Mkewe...ama sijaelewa?
Kachangia bei za vifurushi kuwa juuu!Waliwahi kuwa miongoni mwa super dealers wa Vodacom Tanzania Ltd.