Nyaru-sare,
Acha wivu aiseee
Mtu kaenda SA kwa hela yake hajamuibia mtu ila roho imewageuka imekua nyekundu kama damu
Wakati anafanya biashara halali usiku na mchana wewe umelala unataka kumpangia cha kufanya na hela yake halali?
Acha wivu
Wivu wangu! tajiri wetu amefia mikononi mwa niliofundishwa nisiwaamini, au walinidanganya? tena kwa ugonjwa rahisi sana eti kichomi tu, hata Nurse one year course anamtibu na unapona,
afadhali angefia Kenya nisinge kuwa na wivu, wewe unaona sawa? walivomfanya huko, tena walijua ni muhimili wetu? Ebu hata weye fikiria tu mtu anakuita nyani! my Gosh! na anajua kuwa unajua, but unamfuata!
Akufanyeje sasa? akupe wewe kipaumbele badala ya ndugu yake mweupe?
kwa jinsi wa Africa tulivo wanafiki? ubabaishaji/ubinafsi, hawa wakubwa wenye mitaji na wana siasa , tunawategemea kuibadili nchi, ilituwaige.
Ukitumia una boresha nyumbani kwenu, kwanza unapendwa, unaheshimika, unajulikana, tutajitahidi mtu wetu upone hata kwa dua tu!
Madaktari bingwa vijana na wazalendo wengi tuu!, hawana kazi, Madawa ndo kabisaa za moto kutoka kiwandani, Air Ambulance full para medics, Bab kubwa tunazo, hata kuzidi huko South.
Tena kaburu anajua ubora wetu! ..... some! wanatusemaga sana, utasikia ''Himbili iko Dacta Nyonyi! Ile iko malimu yangu, some years back, natibu hii gojwa! kuja fanya nini hapa baba?''
hao hawana la kutuzidi nawajua, zaidi tu uta bebwa na ngozi nyeupe! sorry! sori nyiiingi, kwanza wanatuonea kinyaa!
wanasiasa wana wapa majina mabaya, baberu/ kaburu? halafu tukawaunga mkono, tena mnawapelekea hela ulizochuma kwa walala hoi, na wao wanawaua sasa, huoni hasara tunapata mkuu? yaani sisi, Badilini lugha sasa muwaiteni waungwana! mtapona na mtarudi salama!
Bila watanzania, hao unao sema wana lala, yeye asingefika hapo alipo, ndo ma boss wake, tumemuajiri afanye hizo kazi, sisi tulale.
Hivimkuu kulala pa safi na bora ni dhambi? au afya bora???, kukesha si kupata pesa, ni maradhi! hapa naandika ni burudani ya pesa natumia baba?
alinitangulia tu na mimi nakuja kwa kasi! tena ya ajabu, kwani alizaliwa akiwa nazo hivo?