cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,763
- 1,432
Umejaribu kufuatilia kuhusu Mama mzazi wa Ally?Huyo dada ni mnafki kama wanafki wengine wa bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaribu kufuatilia kuhusu Mama mzazi wa Ally?Huyo dada ni mnafki kama wanafki wengine wa bongo.
Wewe ndio ulikua humfahamu Ali Mufuruki, period. Unavyolaumu sijui ili iweje au kwa sababu hakukuuzia bidhaa unazozitambua.
we wa wapi kwani? maana unaishi kama unasindikiza.Totally cluelessKwani ni nani huyo Ally Mufuruki?
Apumzike kwa Amani.
Msijitoe ufahamu.
Wahenga walishasema "Mtegemea cha ndugu hufa maskini"
Wivu wangu! tajiri wetu amefia mikononi mwa niliofundishwa nisiwaamini, au walinidanganya? tena kwa ugonjwa rahisi sana eti kichomi tu, hata Nurse one year course anamtibu na unapona,Nyaru-sare,
Acha wivu aiseee
Mtu kaenda SA kwa hela yake hajamuibia mtu ila roho imewageuka imekua nyekundu kama damu
Wakati anafanya biashara halali usiku na mchana wewe umelala unataka kumpangia cha kufanya na hela yake halali?
Acha wivu
HASIRA MZEE WA VIWANJANi ulofa tu,
Wivu wangu! tajiri wetu amefia mikononi mwa niliofundishwa nisiwaamini, au walinidanganya? tena kwa ugonjwa rahisi sana eti kichomi tu, hata Nurse one year course anamtibu na unapona,
afadhali angefia Kenya nisinge kuwa na wivu, wewe unaona sawa? walivomfanya huko, tena walijua ni muhimili wetu? Ebu hata weye fikiria tu mtu anakuita nyani! my Gosh! na anajua kuwa unajua, but unamfuata!
Akufanyeje sasa? akupe wewe kipaumbele badala ya ndugu yake mweupe?
kwa jinsi wa Africa tulivo wanafiki? ubabaishaji/ubinafsi, hawa wakubwa wenye mitaji na wana siasa , tunawategemea kuibadili nchi, ilituwaige.
Ukitumia una boresha nyumbani kwenu, kwanza unapendwa, unaheshimika, unajulikana, tutajitahidi mtu wetu upone hata kwa dua tu!
Madaktari bingwa vijana na wazalendo wengi tuu!, hawana kazi, Madawa ndo kabisaa za moto kutoka kiwandani, Air Ambulance full para medics, Bab kubwa tunazo, hata kuzidi huko South.
Tena kaburu anajua ubora wetu! ..... some! wanatusemaga sana, utasikia ''Himbili iko Dacta Nyonyi! Ile iko malimu yangu, some years back, natibu hii gojwa! kuja fanya nini hapa baba?''
hao hawana la kutuzidi nawajua, zaidi tu uta bebwa na ngozi nyeupe! sorry! sori nyiiingi, kwanza wanatuonea kinyaa!
wanasiasa wana wapa majina mabaya, baberu/ kaburu? halafu tukawaunga mkono, tena mnawapelekea hela ulizochuma kwa walala hoi, na wao wanawaua sasa, huoni hasara tunapata mkuu? yaani sisi, Badilini lugha sasa muwaiteni waungwana! mtapona na mtarudi salama!
Bila watanzania, hao unao sema wana lala, yeye asingefika hapo alipo, ndo ma boss wake, tumemuajiri afanye hizo kazi, sisi tulale.
Hivimkuu kulala pa safi na bora ni dhambi? au afya bora???, kukesha si kupata pesa, ni maradhi! hapa naandika ni burudani ya pesa natumia baba?
alinitangulia tu na mimi nakuja kwa kasi! tena ya ajabu, kwani alizaliwa akiwa nazo hivo?
Niache kufuatilia kuhusu ukoo wetu, niende kupoteza muda kujua habari za wakina Ally. So what ?
Wanawake wenye asili ya Rwanda na Somalia ni hatari sanaNaifkiria ile voice note ya dada wa ally mfuruki kuhusu vitimbi vya mke wa marehemu dhidi ya mama mkwe wake.kama ni kweli basi dunia ina viumbe wazito mno
Sent from my iPhone using JamiiForums
Life is a choice.Hakuna Cha kujitoa Ufaamu hapo....Kunisaidia nduguu sio kwamba ndo anakutegemea...Wapo wengi waliosaidiana kwa Upendo na Mafanikio tunayaona...Hata Mimi katika Mapambano Yangu nawasapoti ndugu piah...Ila kikubwa familia ikiwa na Upendo hata Mafanikio huonekana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira unayo wewe unayeandika in all caps, mimi nipo katika kiyoyozi hapa naliangalia Beemer langu lipo kwenye parking lot limechill, najadili power moves na movers and shakers hasira naanzia wapi?PUNGUZA
HASIRA MZEE WA VIWANJA
Tulioko viwanja hatusemagi,Hasira unayo wewe unayeandika in all caps, mimi nipo katika kiyoyozi hapa naliangalia Beemer langu lipo kwenye parking lot limechill, najadili power moves na movers and shakers hasira naanzia wapi?
Tulioko viwanja hatusemagi,
Unaona??? AC ya nini viwanja vya high latitudes?? labda hapo uwanja wa fisi! hapo mnyaru! ni amefika!
Nikumegee tu bure, hilo limashine ni maradhi matupu km hujui, linaua!
wenye nazo/ wasomi hawalitumii siku hizi! tena Dar ya mvuke na vumbi!
hako ka Beemer kako ni kamoja tu mkuu?