TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Salam zimefika kwa walengwa,tuna kupongeza kuona karibu kwa jicho LA mbaali Mzee.
 
Wewe ndio ulikua humfahamu Ali Mufuruki, period. Unavyolaumu sijui ili iweje au kwa sababu hakukuuzia bidhaa unazozitambua.
 
.... Mhaya tena bilionea anazikwa Kisutu badala ya kuzikwa shambani kwake huko Bukoba! Whats wrong?
 
Wewe ndio ulikua humfahamu Ali Mufuruki, period. Unavyolaumu sijui ili iweje au kwa sababu hakukuuzia bidhaa unazozitambua.

Tafadhali acha Kunipandisha Hasira na nikakujibu ambavyo najua utaumia tu na Kunichukia Kimoja hapa Jamvini sawa? Umesoma vyema Maelezo yangu? Kuna mahala popote hapo nimesema kuwa namlaumu Marehemu Mzee Ali Mufuruki kulingana na Hoja yangu Kuu na husika? Lawama zangu Kuu nazipeleka kwa wale ambao leo hii wamesubiri Mzee ameshafariki ndiyo wanatuambia ' Utajiri ' wake. Kwa Akili zako za ' Kipumbavu ' kamwe usingeweza Kung'amua hata mara moja ' Logic behind ' Mimi kuandika huu Uzi. Hebu wapishe wenye Akili na walionielewa wauchangie tafadhali sawa? Threads hapa JamiiForums zipo nyingi tu siyo lazima uhangaike Kuzifungua na Kuzisoma zangu. Miswahili ni Miswahili tu daima. Swine.

Cc: YEHODAYA
 
GENTAMYCINE,
I am not a bitter person, abrasive nor narcissist like what you're displaying to other people opinions. Hii ni just a reminder to you kua sometimes it's okay not to know something and it's not a sin... Just like today humfaham Ali Mufuruki ndio vivyo hivyo watu hawana uelewa sawa na wewe katika nyuzi zako, you don't have to bully them sababu knowledge is a journey not a destination.
 
Hakuna Cha kujitoa Ufaamu hapo....Kunisaidia nduguu sio kwamba ndo anakutegemea...Wapo wengi waliosaidiana kwa Upendo na Mafanikio tunayaona...Hata Mimi katika Mapambano Yangu nawasapoti ndugu piah...Ila kikubwa familia ikiwa na Upendo hata Mafanikio huonekana!
Msijitoe ufahamu.

Wahenga walishasema "Mtegemea cha ndugu hufa maskini"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyaru-sare,

Acha wivu aiseee

Mtu kaenda SA kwa hela yake hajamuibia mtu ila roho imewageuka imekua nyekundu kama damu

Wakati anafanya biashara halali usiku na mchana wewe umelala unataka kumpangia cha kufanya na hela yake halali?

Acha wivu
Wivu wangu! tajiri wetu amefia mikononi mwa niliofundishwa nisiwaamini, au walinidanganya? tena kwa ugonjwa rahisi sana eti kichomi tu, hata Nurse one year course anamtibu na unapona,

afadhali angefia Kenya nisinge kuwa na wivu, wewe unaona sawa? walivomfanya huko, tena walijua ni muhimili wetu? Ebu hata weye fikiria tu mtu anakuita nyani! my Gosh! na anajua kuwa unajua, but unamfuata!

Akufanyeje sasa? akupe wewe kipaumbele badala ya ndugu yake mweupe?

kwa jinsi wa Africa tulivo wanafiki? ubabaishaji/ubinafsi, hawa wakubwa wenye mitaji na wana siasa , tunawategemea kuibadili nchi, ilituwaige.

Ukitumia una boresha nyumbani kwenu, kwanza unapendwa, unaheshimika, unajulikana, tutajitahidi mtu wetu upone hata kwa dua tu!

Madaktari bingwa vijana na wazalendo wengi tuu!, hawana kazi, Madawa ndo kabisaa za moto kutoka kiwandani, Air Ambulance full para medics, Bab kubwa tunazo, hata kuzidi huko South.

Tena kaburu anajua ubora wetu! ..... some! wanatusemaga sana, utasikia ''Himbili iko Dacta Nyonyi! Ile iko malimu yangu, some years back, natibu hii gojwa! kuja fanya nini hapa baba?''

hao hawana la kutuzidi nawajua, zaidi tu uta bebwa na ngozi nyeupe! sorry! sori nyiiingi, kwanza wanatuonea kinyaa!

wanasiasa wana wapa majina mabaya, baberu/ kaburu? halafu tukawaunga mkono, tena mnawapelekea hela ulizochuma kwa walala hoi, na wao wanawaua sasa, huoni hasara tunapata mkuu? yaani sisi, Badilini lugha sasa muwaiteni waungwana! mtapona na mtarudi salama!

Bila watanzania, hao unao sema wana lala, yeye asingefika hapo alipo, ndo ma boss wake, tumemuajiri afanye hizo kazi, sisi tulale.

Hivimkuu kulala pa safi na bora ni dhambi? au afya bora???, kukesha si kupata pesa, ni maradhi! hapa naandika ni burudani ya pesa natumia baba?
alinitangulia tu na mimi nakuja kwa kasi! tena ya ajabu, kwani alizaliwa akiwa nazo hivo?
 
Duh

What is this?
 
Naifkiria ile voice note ya dada wa ally mfuruki kuhusu vitimbi vya mke wa marehemu dhidi ya mama mkwe wake.kama ni kweli basi dunia ina viumbe wazito mno

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanawake wenye asili ya Rwanda na Somalia ni hatari sana
 
Hakuna Cha kujitoa Ufaamu hapo....Kunisaidia nduguu sio kwamba ndo anakutegemea...Wapo wengi waliosaidiana kwa Upendo na Mafanikio tunayaona...Hata Mimi katika Mapambano Yangu nawasapoti ndugu piah...Ila kikubwa familia ikiwa na Upendo hata Mafanikio huonekana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Life is a choice.

Always remember your choice is the best for you and your own.

Ukishataka mtu awe kama wewe basi unaharibu
 
PUNGUZA

HASIRA MZEE WA VIWANJA
Hasira unayo wewe unayeandika in all caps, mimi nipo katika kiyoyozi hapa naliangalia Beemer langu lipo kwenye parking lot limechill, najadili power moves na movers and shakers hasira naanzia wapi?
 
Tulioko viwanja hatusemagi,
Unaona??? AC ya nini viwanja vya high latitudes?? labda hapo uwanja wa fisi! hapo mnyaru! ni amefika!
Nikumegee tu bure, hilo limashine ni maradhi matupu km hujui, linaua!

wenye nazo/ wasomi hawalitumii siku hizi! tena Dar ya mvuke na vumbi!

hako ka Beemer kako ni kamoja tu mkuu?
 
Slopoke.

Ukisema "tuliopo viwanja hatusemagi" umesema au hujasema?

Sasa unaniuliza au unaniambia?

Dar ya mvuke na vumbi yuko nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom