TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Wahaya mna mambo,hawa wakina Mufuruki ingawa ni wahaya ila wanajiona zaidi kama wasukuma,maana wamezaliwa na kukulia Geita na mama yao pia ni Musukuma.
Kile kiwanja chake kikubwa pale Geita alichokijengea tu ukuta bila kukiendeleza miaka na miaka nadhani ni wakati muafaka kikagawiwa kwa wananchi
Dah.....si ana warithi?
 
Acha uongo,ana mtoto wa kiume tena mdogo sana,sidhani hata kama kafikisha miaka 7 huyu mtoto,kwa mke wake Msomali hapa Kunduchi mtaa wa 170... Ni jirani yangu,so najua ninachoandika

Aliwah kutoka kwenye gazeti la Bang na familia yake akasema ana watoto watatu wakike .mabinti umri wa secodary hv! Basi kaongeza
 
So sad indeed
..Mungu ampumzishe mahali pema peponI. .
Was a true inspiration. .
Rest easy brother
 
Hii ndio maana halisi ya maisha, if you thought life was so meaningful, just think about death.

Pole kwa familia!

Kwa kweli wakati mwingine unaweza kufikiria maisha hayana maana kabisa. RIP mzee wetu na pole sana kwa familia, Mungu awajalie wawe kuhimili maumivu ya kumpoteza mpendwa wao.
 
RIP

Binadamu wote tupo njiani hapa duniani. Mwenyezi mungu awajalie wafiwa nguvu tele kuwawezesha kuona ufalme wa mwenyezi mungu.
 
Amezaa mtoto wa kiume anaitwa TIGHENYE na mabinti zake watatu ni ZAHRA, LEYLA mwingine nimemsahau
Aliwah kutoka kwenye gazeti la Bang na familia yake akasema ana watoto watatu wakike .mabinti umri wa secodary hv! Basi kaongeza
 
Back
Top Bottom