TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Na mwenye serikali yake anakwambia malengo yake ni kutengeza wazalendo mabilionea na ukishindwa kua billionea kwny awamu yake hautakua billionea tena,hahaha.
Miamba inaanguka awamu hii ya 5, mazingira ya biashara ni mabovu sanaaaa, RIP Mengi
 
Sorry mkuu hii Infotech inahusika na nini au wanahusika na biashara zipi?
Huwa naiona tu pale maeneo ya mikocheni ila sikuelewa inadeal na nini?
IT.jpg

Mkuu InfoTech awali ilikuwa inahusika sana na kazi za Ki IT na Printing ila kwa Sasa inafanya kazi nyingine za Real Estate na Maduka ya Nguo Partnership(WOOLWORHTS).
 
View attachment 1285339

Mkuu InfoTech awali ilikuwa inahusika sana na kazi za Ki IT na Printing ila kwa Sasa inafanya kazi nyingine za Real Estate na Maduka ya Nguo Partnership(WOOLWORHTS).
Sasa mkuu kazi za IT na printing na kuuza nguo zinaweza kumfanya mtu kuwa bilionea kumi bora Tanzania?Au Kuna vitu vingine zaidi ambavyo havijulikani?
 
Sasa mkuu kazi za IT na printing na kuuza nguo zinaweza kumfanya mtu kuwa bilionea kumi bora Tanzania?Au Kuna vitu vingine zaidi ambavyo havijulikani?
Mkuu ALi ameanza Bizness Long Tym sana,InfoTech ndio ilikuwa inapata kazi za Printing zote za Serikali,ebu fikiria tu Bungeni wameondoa printing kwa sasa wanatumia ipad ambayo kwa mujibu wa bunge wameokoa MABILIONI ya Shiling yaliyokuwa yanapotea kwa printing.....Sasa hiyo ni Bunge tu!! Sasa InfoTech ilikuwa inapata kazi za printing na IT za Serikali imagine alikuwa anaingiza Tsh ngapi?
 
Back
Top Bottom