TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

Rest In Peace Mr. Mufuruki.

My heart gies out to family and friends.

Jana tu nilikuwa naongea na mtu, nikamtaja Mr. Mufuruki alivyokuwa frustrated na serikali ya Tanzania licha ya kuiunga mkono sana.

Mwaka huu umemchukua Mr. Reginald Mengi, kabla haujamalizika umemchukua Mr. Ali Mufuruki.
 
Matajiri wataishi kama mashetani...

Mtalimia meno..

Itaendelea.
 
sasa unasema hela zimeongezeka zaidi wakati operesheni za kampuni ni zile zile? Kampuni zinaweza kuwa hazijasimama kwa sasa, ila migogoro inasababisha kampuni nyingi kufa

Operation haziwezi kua vile vile , zinakuaje vile vile wamefanya (Cost Cutting) hela inaonekana matumizi yasiyo ya lazima wamekata
 
R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu
 
2015 alimpigania sana sana Magu,naona moja kati ya matunda aliyoyapata kipindi flani hivi ni maduka yake ya WOOLWORTH kupigwa pini na TRA.
Halafu alikuwa classmate wake, Hii dunia ina watu wa ajabu kwelikweli...

Wema hulipwa kwa mabaya...
 
R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu

Duh!
 
Kumbe jamaa alioa msomali..
Niwashaurini mabaharia wenzangu tuoe huko nje,hizi specie za kibongo tuwaache waendelee kuwa masingo mazaView attachment 1285347

Msiba mzito huu poleni sana Tanzania, Poleni sana Ethiopia.

Is Africa really "rising" | Ali Mufuruki | TEDxEuston
323,783 views

Published on 30 Dec 2014
This talk was given at a local TEDx event, produced independently of the TED Conferences. Is Africa really "rising"

ALI A. MUFURUKI :
holds a B.Sc.in Mechanical Eng. Design from the Reutlingen University, Germany, 1986. He was a Member of the Board of Directors of the Tanzania Central Bank, Member of the Board Directors Technoserve, Inc. of Washington, DC and Board Member of Nation Media Group of Kenya. He currently serves as Chairman of the Board Wananchi Group Holdings Kenya, Chairman of The CEOs’ Roundtable of Tanzania,

Trustee–Mandela Institute of Development Studies (MINDS), Johannesburg, South Africa, Chairman of the Board of Chai Bora Ltd, Tanzania, Chairman of Muhimbili University (MUHAS) Grants Committee, Council Member of Dodoma University, Member of the Presidential Investors Roundtable of Uganda (PIRT), Member of the Tanzania National Business Council (TNBC), Member of the Advisory Group on Sub-Saharan Africa (AGSA) for the International Monetary Fund (IMF).

He is a Henry Crown Fellow of The Aspen Institute Class of 2001 Founder and Chairman of The Africa Leadership Initiative (ALI) East Africa. Mufuruki is married with four children.
Source : TEDx Talks

c.c Elli Mhariri Active Mod Mod Five
 
Rest In Peace Mr. Mufuruki.

My heart gies out to family and friends.

Jana tu nilikuwa naongea na mtu, nikamtaja Mr. Mufuruki alivyokuwa frustrated na serikali ya Tanzania licha ya kuiunga mkono sana.

Mwaka huu umemchukua Mr. Reginald Mengi, kabla haujamalizika umemchukua Mr. Ali Mufuruki.
Amechukuliwa na nani mkuu??
 
Huyu nasikia alikuwa m/kiti wa bodi ya ATCL ilipoanza kuyumba hadi kufa
 
Back
Top Bottom