Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwa wafiwa, Matajiri wa nchii tumepata pigo jingine kubwa ndani ya mwaka huu
walipokutana Airport JKI
Matajiri wataishi kama mashetani...Rest In Peace Mr. Mufuruki.
Jana tu nilikuwa naongea na mtu, nikamtaja Mr. Mufuruki alivyokuwa frustrated na serikali ya Tanzania licha ya kuiunga mkono sana.
Mwaka huu umemchukua Mr. Reginald Mengi, kabla haujamalizika umemchukua Mr. Ali Mufuruki.
sasa unasema hela zimeongezeka zaidi wakati operesheni za kampuni ni zile zile? Kampuni zinaweza kuwa hazijasimama kwa sasa, ila migogoro inasababisha kampuni nyingi kufa
Hata Maalim Seif?Mpemba.. Wapemba wanaji consider kama Waarabu
Kabaki chenge na makonda!RIP Mufuruki... Daaah Mamilioneire weusi wa Tanzania wanapungua.
RIP
Ni habari ya inasikitisha sana. RIP Ali Mufuruki.
Halafu alikuwa classmate wake, Hii dunia ina watu wa ajabu kwelikweli...2015 alimpigania sana sana Magu,naona moja kati ya matunda aliyoyapata kipindi flani hivi ni maduka yake ya WOOLWORTH kupigwa pini na TRA.
R. I. P kansa sio aisee mtu unajua umebakiza siku kadhaa za kuimaliza dunia. Hata steve jobs nae aliresign uceo Apple akaenda kufa na kansa.sio kila unayemuona ana upara amependa, chemo ni kali humaliza nywele zote
All in all ni maisha.
Ni mawazo tu
Kumbe jamaa alioa msomali..
Niwashaurini mabaharia wenzangu tuoe huko nje,hizi specie za kibongo tuwaache waendelee kuwa masingo mazaView attachment 1285347
Daah sikujua kama alikua class mate wake aisee.Halafu alikuwa classmate wake, Hii dunia ina watu wa ajabu kwelikweli...
Wema hulipwa kwa mabaya...
Amechukuliwa na nani mkuu??Rest In Peace Mr. Mufuruki.
My heart gies out to family and friends.
Jana tu nilikuwa naongea na mtu, nikamtaja Mr. Mufuruki alivyokuwa frustrated na serikali ya Tanzania licha ya kuiunga mkono sana.
Mwaka huu umemchukua Mr. Reginald Mengi, kabla haujamalizika umemchukua Mr. Ali Mufuruki.