TANZIA: Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia

Hii tasnia ya filam kama ina mapepo vile. maana mabinti wapo wapo2 ukioa hao umejitafutia ugonjwa wa moyo.
 
Mawazo jamani. Nimekuwa nikifuatilia comments zake kwenye mitandao alikuwa ya kupendeza..... RIP Ndekuziii
 
Mkuu imenisikitisha sana na dogo nae akajimwaga kabisa pale?
Mungu atulinde jaman dunia imeisha
 
Yaan hata chembe ya aibu hana.

Kuna sehemu kwenye hio interview alisema wiki moja kabla ya kitchen party alitaka kutoroka ila mama yake akamkataza akimwambia atamtia aibu
Aliangalia pesa...duuh irene ni muuaji bora hta lulu.
 
Reactions: ovi
Jamani jamani....haya maneno yenu yatahatarisha ndoa changa ya dadetu na dogo,tafadhalini tumwombee marehemu apimzike kwa amani,haya mengine tuyaache yalivyo!
 
Aysee mapenzi huenda yamechangia kifo cha jamaa, tupende kias mana wanadamu ni vinyonga tu
 
Na wewe Ujue Mobetto ana moyo!
By Rich Mavoko[emoji12]
 
Jamani jamani....haya maneno yenu yatahatarisha ndoa changa ya dadetu na dogo,tafadhalini tumwombee marehemu apimzike kwa amani,haya mengine tuyaache yalivyo!

Kinga ni bora kuliko Tiba.Na ndiyo maana Werevu kabla ya Kuoa Kwanza huwa wanadadisi na kupeleleza ili wasiingie katika mkumbo ule ule wa kulicheza Gitaa tamu la Sebene la Dally Kimoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…