PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Hii tasnia ya filam kama ina mapepo vile. maana mabinti wapo wapo2 ukioa hao umejitafutia ugonjwa wa moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili linawezekana kabisa kwamba kimoja kikaleta kingine..rip ndikumana.Yawezekana, ila wajua kuwa hali ile husababisha kualika mambo mengine mwilini, it might have triggered that cardiac arrest!!
Mkuu imenisikitisha sana na dogo nae akajimwaga kabisa pale?Siku hizi cardiac arrest ndo cover!
Jamaa alikanyaga umeme mahali, na dada yetu yuko mashakani maana tetesi zilikiwapo mtaani kuwa "gari" lake hufanyiwa service, na dogo nae mzee wa NIKUPELEKE NGARENAROOOOO kama havaagi seat belt anapoendesha hilo gari basi kazi ipo.
Mkuu kuna faida sana kutenda wema.Huoni hata Kwa zari karma haiwaachi salama
Natumai "ndoa" yao ilikuwa ni public stunt tu, sidhani kama dogo kamla huyo dada!Mkuu imenisikitisha sana na dogo nae akajinwaga kabisa pale??
Mungu atulinde jaman dunia imeisha
Aliangalia pesa...duuh irene ni muuaji bora hta lulu.
Aliangalia pesa...duuh irene ni muuaji bora hta lulu.
Sidhani wamekulana hawa ila hatujui kama wameenda kavu au peku. Kuna wimbo dogo kamtaja humo uwoya... ni kweli anamfeel sanaNatumai "ndoa" yao ilikuwa ni public stunt tu, sidhani kama dogo kamla huyo dada!
Jamani jamani....haya maneno yenu yatahatarisha ndoa changa ya dadetu na dogo,tafadhalini tumwombee marehemu apimzike kwa amani,haya mengine tuyaache yalivyo!Kwani kuna Mtu yoyote kataja labda Ugonjwa uliomuua Ndikumana au unawashwawashwa tu Mkuu? Acha Kiherehere na tena usitake Watu tukafunguka zaidi juu ya tatizo lake ili ndiyo ujue kwamba sababu Kuu ni nini. Ukipata muda jioni Saa 1 njoo maeneo ya Leaders Club katika Goli la Chips na Kiosk cha Mchezaji mmoja wa Yanga ambaye alipata taabu sana kwenda kumuona Nonda Shabaan Papii huko Kwao Congo ila ndiyo aliyemsaidia pia ' Ndiku ' kuja nchini hadi akasajiliwa na Simba SC kisha utayapata zaidi na kama hapo utaona mbali mida ya Saa 3 tukutane Magomeni Mikumi jirani kabisa na Kijiwe cha Timu ya Masela ya Friends Rangers ambako utakutana na Mchezaji mmoja ambaye sasa anaishi katika nchi iliyoifanya Italia isicheze World Cup mwakani akupe na mengineyo zaidi kwani Yeye ndiyo aliyempokea ' Ndiku ' huko ng'ambo na alilijua mapema / siku nyingi sana tatizo lake alilokuwa nalo. Kama ukishindwa huko kote kama unaweza nenda Mwananyamala Hospital kamtafute Nesi mmoja hivi mcheshi mcheshi sana pale jina lake la mwanzo linaanzia na herufi J na la herufi yake ya mwisho katika jina lake la Ubini / Ukoo linaishia na herufi E kisha atakupa status nzima ya Mrs. Dogo Janja. Kila la Kheri.
Hata hivyo tumeendelea kupungua kwa kasi ya ajabu. Na siku sio nyingi tutatoweka
[emoji188] [emoji188] [emoji188]1.Diamond ____ Ivan
2. Dogo Janja_____ ndikumana
3.
4.
5.
Na wewe Ujue Mobetto ana moyo!Hii dunia watu wanapitia matatizo mengi sana ! Watu wana misongo ya mawazo mnooooooo. Lakini sisi wanadamu tunatumia muda mwingi sana kutake advantage ya matatizo Yao na kuyakuza mambo, sometimes tunaenda mbali na kufanya matatizo ya wengine habari za kucheka na kupiga soga za umbea ! Kumbe wengine wanaumia na mioyo Yao ni dhaifu! It's about time watu wajue mitandao kwa asilimia kubwa wakati inafurahisha wengine pia inachangia wengine kuumia zaidi na hata kupoteza maisha ! Mwenyezi Mungu asisahaulishe watu waliomake fun of situation ya Ndikumana! A lot of people made fun of him kumbe anaumia ndani ! Tunaendekeza binaadamu ubuyu bila kujua duvet bullying takes away lives kwa kiwango kikubwa
Jamani jamani....haya maneno yenu yatahatarisha ndoa changa ya dadetu na dogo,tafadhalini tumwombee marehemu apimzike kwa amani,haya mengine tuyaache yalivyo!