TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Kama kuna uzi wenye historia ya uyu mzee mpaka kupata kifungo cha nje naomba auupdate au anitag kwenye huo uzi
 
Duh, ila kweli ccm imeshapata sababu ya kuzuia UKUTA, wanaweza weka maombolezo siku mia moja!!!!!. Marufuku mikutano ya kisiasa tu mingine iendelee.
naanza kuhofia ilo!ila,uoni pia ata chadema watapata kichaka cha kujifichiamo iwapo,hawakuwa na mpango wa kuandamana?
 
Alipo apa kuwa Rais/Makamu wa Rais alipoteza haki hizo zote. Haki hizo kwa sasa ni za Taifa, na taifa litaamua kama alivyojikabidhi kwa taifa kipindi anaapishwa.Full stop.

Mambo mengine yanashangaza kidogo - Si aliondolewa madarakani unceremonously, kawekwa kizuizini na kupoteza haki zake zote kama kiongozi wa Taifa, hivi inaingia akili kweli kwamba mnataka haki zake za Kitaifa zirudishwe akiwa marehemu! Mi nafikiri unataka kuleta utani kwenye majonzi ni kheri ungekaa kimya watu wangekuelewa kuliko kuwa so insensetive!!!
 
Siku thelathini za maombolezo, hakuna mikutano ya kisiasa wala the like.
huoni kuwa hatua hio yaweza kuwafaidisha hata upinzani?kwani waweza kuta wanapata muda wa kujipanga zaidi na pia wanaweza pata nafasi ya kusave their faces,especially kama walikuwa hawana mpango wa kuandamana katika Ukuta?
 
Back
Top Bottom