Ally Ngowo
Member
- Feb 24, 2015
- 86
- 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamuombea mapumziko pema huko kwa mwenyezi mungu maana sisi wote ni waja wakeMzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu.
=======
UPDATE:
JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
View attachment 381455
View attachment 381456
View attachment 381457
Aliyekuwa Rais wa pili wa Zanzibar (7 Aprili 1972 hadi 30 Januari 1984) Mwinyi Aboud Jumbe amefariki Dunia.
Walimtupa kabisa na kumsahau kisa siasaaaaUtasikia mapambioo n'a kuanza kumsifiaaa
Muda wote mlikuwa kimyaa..
Apumzike kwA amani
Tutayasikia kabisa na kusoma wasifu wake kwa mbwembweWatasema alikuwa mtu sana alipokuwa kwenye Chama.
Haswaa huko kwa asiye na upendeleo.Kweli mkuu unafiki kwa kwenda mbele, hata kumtembelea walikuwa hawaendi wakati ni hapo Kigamboni tu.
RIP mzee wetu mtakutana nao huko huko kwa hakimu wa Haki.
Kuondoka kwake huku ndio kutoka kifungoniKwani kile kifungo chake kule Kigamboni kiliisha?
DuhWalimtupa kabisa na kumsahau kisa siasaaaa
Inasikitisha sanaWalimtenga had amekufaaa,rip
Hata kwa marehemu Wangwe walisema hivyohivyo wakati akina a.k.a walipinga na kupuuza mawazo kuntu slokuwa akitoa ndani ya chama. Lakini kwa mstaafu huyu anahaki ya kumtakia RIPUtasikia mapambioo n'a kuanza kumsifiaaa
Muda wote mlikuwa kimyaa..
Apumzike kwA amani
mkuu,ni nini kilicho tokea ktk kikao icho cha n.e.c?
Umenena jambo kubwa sana.. nyuma ya panzia kuna mambo sana..!Kuondoka kwake huku ndio kutoka kifungoni
Mkuu mwisho wa siku ni mwenyezi mungu ndio muamuzi wa yote.Umenena jambo kubwa sana.. nyuma ya panzia kuna mambo sana..!
Ilitolewa Na raisHivi hukumu yake ilitolewa na mahakama gani?