Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaah masikini kafa akiwa kwenye kifungo cha nyumbani.Anyway R.I.P tutakukumbuka daima kwa harakati zako za kuipigania zanzibar.Huyu ni ABOUD JUMBE MWINYI
Alikuwa Raisi wa Zanzibar 1972 - 1984 amefariki dunia leo nyumbani kwake Dar es salaam.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN
Source: ABM REDIO
Kumbe atazikwa kesho saa 7 Zanzibar
Hivi hukumu yake ilitolewa na mahakama gani?
R. I. PDaaaaah masikini kafa akiwa kwenye kifungo cha nyumbani.Anyway R.I.P tutakukumbuka daima kwa harakati zako za kuipigania zanzibar.
Utasikia mapambioo n'a kuanza kumsifiaaa
Muda wote mlikuwa kimyaa..
Apumzike kwA amani
Naona sasa posho za maasikali waliokua wakimlinda nyumbani kwake pale kigamboni asitoke zimefikia ukingoni.R. I. P
Kimeisha sasa. God has set him free. RIP.Kwani kile kifungo chake kule Kigamboni kiliisha?
Enhe! Patamu hapo ...Hiyo miaka umenipangia wewe ukute ww ni mtoto wangu wa tano na huyo unaemtaja ameshaacha kazi serkalini muda mrefu sana mustafa jumbe anaitwa kama humjui nimekupa na jina
Daaaaah masikini kafa akiwa kwenye kifungo cha nyumbani.Anyway R.I.P tutakukumbuka daima kwa harakati zako za kuipigania zanzibar.