TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

N'a siajabu ikawa siyo siku ya kazi,Ngoja utawasikiaaa wanafikiiiii wataanza
Nyie akili zenu ndio za kinafiki unataka isitangazwe kuwa siku ya kutofanya kazi? Hizo lawama mnazotoa mnauhakika kuwa hakuna viongozi wa serikali walioenda kumjulia hali?
Je, kifo chake kinatokana na uzembe wa viongozi wa serikali? ACHENI MAWAZO HASI HATA KWA MAMBO YASIYOZUILIKA, KIFO HAKIWEZI KUZUIWA KAMA KIMEWADIA,

APUMUZIKE ANAPOSTAHILI.
 
RIP Shujaa wetu ABOUD JUMBE MWINYI .Ulale mahali pema peponi
 
RIP. Pole kwa wafiwa.

Sasa ngoja uone unafki wa viongozi wetu, Utasikia, Marehemu kaacha pengo kubwa, mara tutamuenzi kwa mchango wake mkubwa taifa, mara taifa limepoteza kiongozi shupavu etc!
 
Huyu ni ABOUD JUMBE MWINYI

Alikuwa Raisi wa Zanzibar 1972 - 1984 amefariki dunia leo nyumbani kwake Dar es salaam.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN

Source: ABM REDIO
 
wos.jpg
 
Hata kwa marehemu Wangwe walisema hivyohivyo wakati akina a.k.a walipinga na kupuuza mawazo kuntu slokuwa akitoa ndani ya chama. Lakini kwa mstaafu huyu anahaki ya kumtakia RIP

Mkuu tafadhali sana futa bandiko lako hili.
Marehemu ni mmoja kati ya watu wanaoheshimika sana hapa Tanzania,
hivyo usiharibu Tanzia yake hapa.
 
Back
Top Bottom