Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inalilah wainailaihi rajiuun. Pole maalim Seif, hukupta nafasi ya kumuomba radhi kwa maovu uliomtendea. Hajakusamehe na huna radhi nae amoja na watu wa Zanzibar. Tulikuomba ukamuombe msamaha sasa ndio kaburi ya maisha ya siasa zako. HUKUBALIKI TENA ZANZIBARMzee Aboud Jumbe amefariki dunia muda si mrefu. Ni baada ya kuugua muda mrefu.
=======
UPDATE:
JamiiForums imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
View attachment 381455
View attachment 381456
View attachment 381457
Kwa hiyo mzee kafia detention ?
mkuu,umesahau ya kabwe na makonda?ukileta fyokofyoko watakufyokoa!hata mie ningependa waheshimu wosia wa marehemu,ila hofu yangu ni je:wosia wa marehemu utaheshimiwa?Ningekuwa mwana familia nisingemruhusu hata kiongozi mmoja wa nchi hii asogee....ubaya ubaya TU bora
Loh! Sijui kama ameacha ameandika kitabu au la, ingekuwa vema kama watoto wake wangeandika historia yake ya kweli - hasa hasa kilicho jili Dodoma na wahusika wakuu walio fanya mpango awekwe kizuizini Robben Island ya pwani ya Mjimwema walikuwa ni akina nani.
mkuu,ni nini kilicho tokea ktk kikao icho cha n.e.c?Weee, acha tu...yule mzee baadhi yetu tulikuwa tunamfahamu angalau kidogo, na tunafahamu kilichotokea kwenye kikao kile cha NEC kule Dodoma...yaani binadamu ni wanafiki sana....Kama ni kweli amefariki Mungu amlaze Mahali pema peponi...nawapa pole wasaidizi wake ambao wamekuwa karibu naye since 1984...siwezi kuwataja majina hapa...na pia familia yake naipa pole...Watu ni wanafiki sana...Mungu ni Mkubwa siku zote...Ni kweli wanaweza wakaja humu bila aibu kusifia hiki na kile...tusubiri tuone...lakini inawezekana aliacha wosia...
Alipo apa kuwa Rais/Makamu wa Rais alipoteza haki hizo zote. Haki hizo kwa sasa ni za Taifa, na taifa litaamua kama alivyojikabidhi kwa taifa kipindi anaapishwa.Full stop.
kafia kifungoniKwani kile kifungo chake kule Kigamboni kiliisha?