Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Maalim Faiza,Kama sijakosea Alama Mohamed Said na Faraj Tamim wana mchango mkubwa katika kitabu cha Abood Jumbe.
Ni mapema mno, tusubiri.
Hakika ni msiba mkubwa kwangu na Tamim kwani alikuwa mzee wetu
sana na mtu tuliyekuwanae karibu mno.
Walikuwapo katika kundi letu Prof. Hamza Njozi na Dr. Ramadhani
Dau.
Mzee Jumbe alimpenda sana Tamim kwa ajili ya ile '' hard to imagine
exceptional intelligence'' yake aliyojaaliwa na Allah na Tamim alifanyakazi
kubwa sana ya uhariri wa kitabu cha Mzee Jumbe, ''The Partnership,''
zaidi akimzuia Mzee Jumbe abakishe baadhi ya mambo akimwambia,
Mzee Jumbe imetosha kuwa sisi tushayajua.
Hii picha tulipiga mwaka wa 2000.