TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Kwani kile kifungo chake kule Kigamboni kiliisha?
Nafikiri kitakuwa kinaendelea, ah!, yaani Dunia!, mtu anamaguvu!, mbabe!, walinzi kila kona!, anafanya lolote alitakalo kwa saa yoyte ile na popote pale!, ila mwisho wa siku, utashangaa!, huwa mnyonge na upweke tele!, yaani, MUNGU ni mwema sana, ana huruma, msatahamilivu, msamehevu, amakweli DUNIA ni ya kila mtu, ameondoka aliyekuwa kiongozi ila aliyekuwa anaongozwa kabaki!, ila misho wa siku sote ni warejea kwake, nahii ndio inanifanya niamini km MUNGU yupo coz utakuwa utakavo kuwa ila kwake utarejea.

INAA-LILAH WAINAA-ILYHI RAJUUN.​
 
Nadhani kunajambo alisahau yakuwa alikuwa kiongoz na aliapa kuzikubali sheria na katiba huku akiwa ameshika Quran sasa nilazima ajuwe atazikwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi zakuwazika viongozi. RIP mzee
 
Masikini mzee wetu,Mungu amwangazie mwanga wa milele.Amina.
 
Nadhani kunajambo alisahau yakuwa alikuwa kiongoz na aliapa kuzikubali sheria na katiba huku akiwa ameshika Quran sasa nilazima ajuwe atazikwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi zakuwazika viongozi. RIP mzee
Unakiuka?!
 
mzee alisahaulika hata historia mashuleni ilikuwa haimtambui shujaa huyu,,,ccm watu wabaya sana
 
nilazima ajuwe atazikwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi zakuwazika viongozi. RIP mzee
Atakavyo zikwa usisahau kuleta mrejesho ili tuone ni lazima o si lazima, ila kiukwli huko anako kwenda ni kugumu kuliko anakotoka, nilazima ajitete mapema., haya ya dnia si lolote si chochote maana aliye tuleta alitupa uwezo wa kuyafanya na kuyaacha hapa hapa.​
 
 

Comrade, tuvumiliane tu...haya mambo yana mipaka yake...Mzee Jumbe tumuombee apumzike mahali pema peponi...Najua nakukwaza lakini ndiyo hivyo...Not everything is for public consumption..
 
Watangaze kesho siku ya Mapumziko jamani....maana tumechoka na kibarua cha kuwahi kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…