Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Calm...Kitabu chake cha PARTNERSHIP mbona hakionekani kwa kiswahili?
Kitabu kipo unaweza kujaribu Masomo Bookshop Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Calm...Kitabu chake cha PARTNERSHIP mbona hakionekani kwa kiswahili?
Kwani kile kifungo chake kule Kigamboni kiliisha?
Unakiuka?!Nadhani kunajambo alisahau yakuwa alikuwa kiongoz na aliapa kuzikubali sheria na katiba huku akiwa ameshika Quran sasa nilazima ajuwe atazikwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi zakuwazika viongozi. RIP mzee
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (Arabic: إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ) is a part of a verse from the Qur'an which translates to "We surely belong to God and to Him we shall return."Hiyo maana yake nini?
nilazima ajuwe atazikwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi zakuwazika viongozi. RIP mzee
Usimsahau na Maalim Seif Sharif Hamad.. Huyu hakustahili kutenda kile alichomtendea huyu Mzee
Ha ha ha pole mkuuNimeachwa kando tena mbali sana hakika!
Kaka ...
Usimsahau na Maalim Seif Sharif Hamad.. Huyu hakustahili kutenda kile alichomtendea huyu Mzee
Naona Jamaa wa Usalama wamejaa sana hapa msibani. Ukiinua simu tu utatazamwa kama umeua mtu
Ha ha ha aha , Angalia hao wote waliokuzunguka karibia wote ndio hao.
Mkuu...tunaomba tuwajue hao wasaidizi wake waliokuwa wakimsaidia mzee wetu licha ya kuwa walibeba risk kubwa sana kufanya hivo kutoka kwa wale mahasimu wa mzee wetu..ambae licha ya maradhi alikuwa na umri mkubwa..tusaidie majins yao kwa maslahi ya wapenda haki
Aliandika wosia huo kwa miaka mingi kidogoHii mbona kama vile hataki serikali katika mazishi yake