TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

.....
.....RIP Mzee wetu ...mengi ya Kujifunza katika hii dunia
 
Kweli mkuu unafiki kwa kwenda mbele, hata kumtembelea walikuwa hawaendi wakati ni hapo Kigamboni tu.

RIP mzee wetu mtakutana nao huko huko kwa hakimu wa Haki.
Walimsahauuu kabisa pale kigamboni ilikuwa totorooo tu maana hawawezi kwenda hakuna mchongooo.....utaanza wasikiaaa wanafki wakatavyoanza kutiw salam na wasifu wake
 
Sidhani kama alikuwa kifungoni ila mzee yule nadhani alikuwa na matatizo ya macho...
Yeah nafahamu alikuwa n'a matatizo ya macho
Ila serikali ilimsahau Ila kutokana n'a msibaa huu utasikiaaa sifa mbwembwe zote za kutiaa pole.....kama mimi ndiyo mwanafamilia au mtoto ah tunamzikaa kifamiliaa,msiba utakuwa lowprofile tu
 
RIP Mzee wetu.
Utasikia wazee wa mwendokasi watakavyomsifia marehemu sasa kama kawaida yao, wakati enzi za uhai wake hata kumuona tu pasipo hata kumsaidia huenda hata hawakuwahi kamwe.
 
Kosa alilofanya akala kifungo cha maisha ndio kimeisha sasa yupo huru so anahaki ya kizikwa kitaifa na hali zake alizoitumikia nchi anastahili apate.. So kama sifa apewe na kama makosa yaachwe keshatumikia kifungo chake chote.... Sawa sawa Njile na kiteta...
 
Back
Top Bottom