TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Hizi ni khabari za kweli na hazina shaka yoyote nikiripoti hapa mji mwema kigamboni kwa niaba ya jamii forum
 
Utasikia kesko wanatangaza siku moja au mbili za mapumziko na sifa kibao atamiminiwa ingawa walimuona kama adui enzi za uhai wake.
 
RIP mzee wetu.

Kifo kinatukumbusha nini wanadamu? Yoooooooooote fanya, kuna siku utamrudia Mola wako. Ni heri kutenda mema, haki etc. Alikuwa na madaraka, amri yake ilikuwa kama ya Mungu visiwani; sijui aliwaonea wangapi? Wangapi walikufa??? kwenye mikono/amri zake etc? (sisemi alitenda hayo, HASHA, ni imaginary situation tu)! Watawala na wote tulio na wajibu wa kutenda mema tufanye hivyo.
 
Kifungo kimeisha Mzee amepata Uhuru tena.Nenda kwa usalama serikali tatu bado
 
Dah walimtenga na kumnyanyapaa nadhani ni kiapo walikula kutoka kwa mfalme Nyerere. Mzee wa watu wakamfungia kama kuku masikini amejifia akiwa hatakiwi kuiona ardhi ya nje ya nyumbani kwake.

Nenda mzee na najua utapewa kiti cha kumhukumu Nyerere na wale wote waliokula kiapo chake kuwa hutakiwi kuwa huru!!!!
 
CCM walimuweka kifungo bila huruma mpaka mauti.Mzee umekuwa huru tena nenda utaishi kwa amani huko uendaka
 
Aliwekwa kolokoloni kwa kusema mawazo yake ya kuleta Uhuru wa watu wa Zanzibar akapata kifungo cha maisha.
 
Ohhh my God. Na hiyo mikono imekuwaje tena? Aliugua wakaikata au ni sehemu ya adhabu? MTU mzima machozi yamenitoka. Unyama mkubwa sana. Rest in Peace Hero.
 
Back
Top Bottom