TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Kwa huyu mzee na kwa waZanzibar wapenda mabadiliko natoa pole za dhati nakumbuka enzi zangu za primary. R.I.P.
 
Jamani msiutumie msiba kujijenga kisiasa haram kabisa hii.
 
Hizi ni khabari za kweli na hazina shaka yoyote nikiripoti hapa mji mwema kigamboni kwa niaba ya jamii forum
Tunashukuru kwA kutuletea hii habari...Vp lkn wanafki hawajaanza kusogea hapo..nyumbani kwA marehemu maana Kuna mabingwa wa ku sign daftari la maomboleze...huku wanajifanya kutiw huruma

Ova
 
14 “Mwanadamu, aliyezaliwa na mwanamke,+ Ana maisha mafupi+ na yenye kujaa msukosuko.+ 2 Amechanuka kama ua na kukatiliwa mbali,+ Naye hukimbia kama kivuli+ wala haendelei kuwako. 3 Ndiyo, umefungua macho yako juu ya huyu, Nami unanitia katika hukumu+ pamoja na wewe. 4 Ni nani anayeweza kutokeza mtu safi kutoka katika mtu asiye safi?+ Hakuna hata mmoja. 5 Ikiwa siku zake zimeamuliwa,+ Hesabu ya miezi yake iko kwako; Umeweka amri kwa ajili yake ili asiweze kuvuka. 6 Geuza macho yako kutoka kwake ili apumzike,+ Mpaka apate raha kama mfanyakazi wa kukodiwa anavyopata katika siku yake. 7 Kwa maana hata kwa ajili ya mti kuna tumaini. Ukikatwa, utachipuka tena,+ Na tawi lake halitakoma. 8 Mzizi wake ukizeeka katika udongo Na kisiki chake kikifa katika mavumbi, 9 Utachipuka unaponusa harufu ya maji+ Nao utatokeza tawi kama mmea mpya.+ 10 Lakini mwanamume hufa na kulala akiwa ameshindwa; Na mtu wa udongo hukata pumzi, naye yuko wapi?+
 
Yeah nafahamu alikuwa n'a matatizo ya macho
Ila serikali ilimsahau Ila kutokana n'a msibaa huu utasikiaaa sifa mbwembwe zote za kutiaa pole.....kama mimi ndiyo mwanafamilia au mtoto ah tunamzikaa kifamiliaa,msiba utakuwa lowprofile tu
ilimsahau vipi wakati alipata stahiki zake kama makamu wa rais mstaafu,na rais mstaafu wa zanzibar?
Kaka usikurupuke kila jambo fanya utafiti kwanza,Pamoja na uzee kochokocho,aliokuwa nao,bado alikuwa na mtu wa Tiss pembeni na Land cruiser ya serikali,achilia mbali matibabu ya mara kwa mara London
 
Poleni sana
Maziko wapi Zanzibar au Mji mwema?
 
Back
Top Bottom